Matendo Ya Mungu

Matendo ya Mungu
Yapita fahamu
Ni nani ayaona wazi
Lakini najua
Mapito ya Mungu
Kwa mimi yafaa halisi
Ooh lakini najua
Mapito ya Mungu
Kwangu mimi yafaa halisi
Njiani sijui mimi
Maana ya haya yote
Lakini nitayafahamu



Credits
Writer(s): Solomon Mkubwa
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link