Malaika
Malaika
Nakupenda malaika
Malaika
Nakupenda malaika
Ningekuoa mali we
Ningekuoa dada
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa malaika
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa malaika
Pesa
Zasumbua roho yangu
Pesa
Zasumbua roho yangu
Nami nifanyeje, kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa malaika
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa malaika
Kidege
Hukuwaza kidege
Kidege
Hukuwaza kidege
Nami nifanyeje, kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina, we
Ningekuoa malaika
Nashindwa na mali sina, we
Ningekuoa malaika
Malaika
Nakupenda malaika
Malaika
Nakupenda malaika
Nami nifanyeje, kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina we
Oh, ningekuoa malaika
Nashindwa na mali sina we
Yes, I love you my angel
I said, I love you my angel
Ningekuoa malaika
Ningekuoa malaika
Nakupenda malaika
Malaika
Nakupenda malaika
Ningekuoa mali we
Ningekuoa dada
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa malaika
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa malaika
Pesa
Zasumbua roho yangu
Pesa
Zasumbua roho yangu
Nami nifanyeje, kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa malaika
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa malaika
Kidege
Hukuwaza kidege
Kidege
Hukuwaza kidege
Nami nifanyeje, kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina, we
Ningekuoa malaika
Nashindwa na mali sina, we
Ningekuoa malaika
Malaika
Nakupenda malaika
Malaika
Nakupenda malaika
Nami nifanyeje, kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina we
Oh, ningekuoa malaika
Nashindwa na mali sina we
Yes, I love you my angel
I said, I love you my angel
Ningekuoa malaika
Ningekuoa malaika
Credits
Writer(s): William Fadhili
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
Other Album Tracks
Altri album
- The Unforgettable Miriam Makeba (Remastered)
- The Unforgettable Miriam Makeba (Remastered 2024)
- Sound of South Africa
- Goodbye to Africa
- Keep Me in Mind (Remastered)
- Live at Berliner Jazztage, Berlin Philharmonic, 1978 (feat. Dollar Brand Quartet) - EP
- My Yiddishe Momme / The Click Song - Single
- In Time (Christmas at The Vatican) [Live]
- Phansi kwalomhlaba
- Lakutshn Ilanga
© 2025 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.