Umwema

Umwema umwema fadhili zako niza milele makusudi yako ni makuu kwetu
Tunakuimba twakushukuru fadhili zako
Niza milele makusudi yako ni makuu kwetu

Ooh umwema umwema fadhili zako niza
Milele makusudi yako ni makuu kwetu
Ooh umwema umwema fadhili zako niza
Milele makusudi yako ni makuu kwetu

Umwema umwema BWANA

Umwema umwema fadhili zako niza milele makusudi yako ni makuu kwetu
Mbinguni wakuabudu duniani tunaimba utukufu ni kwa Mwana kondoo
Ameshinda shetani kamnyanganya mamlaka astahili sifa utukufu heshima.

Umwema Yesu fadhili zako niza milele na milele
Uwaajabu Yesu wapita wote
Umzuri na u pendo

Tunakuabudu mwenye hekima uliyeumba Nchi na mbingu
Tumejiunga na watakatifu nawenye uhai tukusifu

Umwema Yesu...



Credits
Writer(s): Rehoboth Ministries
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link