Kijiti

Tazameni, tazameni, alivyofaanya Kijiti
Tazameni, tazameni, alivyofaanya Kijiti
Kumchukua mgeni, kumchezesha foloki
Kumchukua mgeni, kumchezesha foloki
K'enda nae Maguguni, kamrejesha maiti
K'enda nae Maguguni, kamrejesha maiti

Kamrejesha maiti, kamrejesha maiti
Kamrejesha maiti, kamrejesha maiti
K'enda nae Maguguni, kamrejesha maiti
K'enda nae Maguguni, kamrejesha maiti

Kijiti alin'ambia ondoka mama twenende
Kijiti alin'ambia ondoka mama twenende
Laiti ningelijua, ningekataa nisiende
Laiti ningelijua, ningekataa nisiende
Kijiti unaniua kwa pegi moja ya tende
Kijiti unaniua kwa pegi moja ya tende

Kwa pegi moja ya tende, kwa pegi moja ya tende
Kwa pegi moja ya tende, kwa pegi moja ya tende
Kijiti unaniua kwa pegi moja ya tende
Kijiti unaniua kwa pegi moja ya tende

Jagiene akasirika, kitini alipoketi (ah)
Jagiene akasirika, kitini alipoketi
Kasema, "Blood fool, mashaidi wa Kijiti"
Kasema, "Blood fool, mashaidi wa Kijiti"
"N'takufunga Suma Idd na KBT Subeti"
"N'takufunga Suma Idd na KBT Subeti"

Na KBT Subeti, na KBT Subeti
Na KBT Subeti, na KBT Subeti
"N'takufunga Suma Idd na KBT Subeti"
"N'takufunga Suma Idd na KBT Subeti" (ah, hey)



Credits
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link