Pain Killer

Kutwa shindwa kuelewana
Ila nakupenda sana
Ujue roho yangu unaichoma
Kutwa tukanana
Mapenzi yamepungua mama
Au umepata mwengine bwana
Tunashindwa kuelewana
Ila nakupenda sana
Mwenzio roho yangu unaichoma
Kutwa tukanana
Mapenzi yamepungua mama
Au umepata mwengine bwana
Mhh nalia
Mimi kwa machungu
Sometimes namuomba mungu
Aloumba binadam na walimwengu
Aniangazie mola
Sipendi lawama
Kunitukana
Jua unanidhalilisha sana
Roho inauma, Nakupenda sana
Jua unanichanganya mama
Sipendi lawama, Kunitukana
Jua unanidhalilisha sana
Roho inauma, Nakupenda sana
Jua unanichanganya mama

Kutwa shindwa kuelewana
Ila nakupenda sana
Ujue roho yangu unaichoma
Kutwa tukanana
Mapenzi yamepungua mama
Au umepata mwengine bwana
Tunashindwa kuelewana
Ila nakupenda sana
Mwenzio roho yangu unaichoma
Kutwa tukanana
Mapenzi yamepungua mama
Au umepata mwengine bwana
...

Tunashindwa kuelewana
Ila nakupenda sana
Ujue roho yangu unaichoma
Kutwa tukanana
Mapenzi yamepungua mama
Au umepata mwengine bwana
Tunashindwa kuelewana
Ila nakupenda sana
Mwenzio roho yangu unaichoma
Kutwa tukanana
Mapenzi yamepungua mama
Au umepata mwengine bwana



Credits
Writer(s): Michael Durham Prince, Roger Romeo
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link