Kupanda Na Kushuka

mmi huweka weka pesa kwenye banki
kisha nacheka
utadhani ni
na niko maji
utadhani mi ni tanki
macho nyekundu
nimegeuza karangi
unanijua ujinga mi sitakangi
unanijua track mi huwa naua
mi ni kammea utadhani mi maua
jina kubwa utadhani unanijua
so kikundi serikali
basi nani ana swali
yaani ngoma ingine kali
yaani tamu kama asali
so mi huweka watoto mi naweka
niko tribeka niko gauge tu nawaka
nataka kuteka kisha niingie kileja tu kuweka weka
weka weka tena sana
najifanya nimedoze kumbe naongezanga doze
asubuhi ikifika narudi tu pale pale juuu
weka weka weka weka weka weka
tena sana
tunaweka weka weka weka weka weka tena sana
bunganya mi ni beshte ya kuruaa.
nina mapesa nimejaza kwenye wolenje
kuna msupa amepoteza makibenje
nina kitu kwenye boxer kakonje
kuna kale kabaruta pia kakwenje
hunakawekanga sana
hivo ndo huwanga nafanya
huwanga nawakusanya
wananiitanga bunganya
nabadilika kama camillion tubonge
nasema tubonge
acha nigonge
wanasema ninabore
wanasema sina doh
checki after evry show nawakopeshanga doh
namafans wanasema buga umeua show
hawa mafala hakuna kitu wanaezanga nishow
niko fiti djow
niko fiti kidoh
wanacheza ligi ndogo mmi nacheza ligi soo
mi napenda zile vitu hukipenda big so
so weka weka weka weka weka
weka weka weka weka tena sana
tunaweka weka weka weka weka
weka weka weka weka weka tena sana 3
ni yule kijana mbaya zaidi
mistari gaidi
nararua hizi tracks ile mbaya zaidi
hukipenda hukipenda majina zaidi
african doctor
yule headmaster
ninaweka zaidi
ninaweka weka yaani ile wega wega
nikisonga mbele bado wanaboeka boeka
BonEye weka.akibend weka
akijipa kama kawa nafyeka fyeka
mi napiga piga hadi inatetemeka
ikitetemesha basi nami natetemesha
tunaweka weka hey hakuna pressure
mi naweka weka yaani naongeza mbesha
niitange deadry
mtoto shekury
hukitakanga kucheza mi nacheza safery
stay ready gentry everyday
weka weka weka weka weka
tunaweka weka weka weka weka tena sana x3



Credits
Writer(s): Michael Githuka
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link