Heri Siku Moja

(Ewe Mungu wa majeshi) ewe Mungu wa majeshi
(Napenda kukaa nawé) ni napenda kukaa nawé
Maskani ('skani) zako zapendeza
(Na zi kondea) na zi kondea kwa shauku kubwa

(Heri) heri siku moja
(Mbélé zako) mbélé zako
(Kuliko) kuliko siku elfu mbali na wéwé
Ee Bwana, nguvu na m'saada wangu; n'takupenda daima

Moyo na mwili wangu (moyo na mwili wangu Bwana)
(Viakulilia) viakulilia Mungu wangu
Heri (heri) nikose vioté Baba
Lakini nikupate wéwé (nipate wéwé)

Heri siku moja (siku moja)
Mbélé zako (kuliko)
Kuliko siku elfu mbali na wéwé (ewe Bwana)
Ee Bwana, nguvu na m'saada wangu, n'takupenda daima

M'chezeye Bwana, Team

Alléluia

Asante Bwana

Heri siku moja (siku moja)
Mbélé zako (Bwana mangu)
Kuliko siku elfu (siku elfue yingine) mbali na wéwé
Ee Bwana, nguvu na m'saada wangu, n'takupenda daima



Credits
Writer(s): Reuben Kigame
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link