Sitolia

Aaaah eeeeh
Fahamu anakupenda sana aaah aaaah
Na hii salvation yako haitadunda aaah aaaah
Miye msela sina hela
Alikupenda bila hela
Miye msela sinanga hela
Alikupenda bila hela
Amekuwa akinihanda amekuwa akinitesa mimi iiii aaaah
Sababu mi mlofa na sina hela
Miye fukara just imagine
Bado nafsi yangu ni kwako wewe
Kuokoka kwangu ni kwako wewe
Ni kwako ni kwako oooh
Ni kwako ni kwako wewe
Ni kwako ni kwako oooh
Ni kwako ni kwako wewe

Mimi sitolia kwa sababu uko na mimi Jalali
Yeiye sitolia mimi kwa sababu ukona mimi Maulana
Ni ukweli usilie mwenzio
Maulana yuko na wewe akujali
Kiganjani mwake amekueka eeaah hutobanduka

Ni kweli uko mbali na mimi
Uko mbali na uda wangu
Lakini msela mimi huyu
Sitolia kamwe yeeeyeeh
Mwana we mwana nakuambia tulia
Mwana we mwana si vyema kulia
Mola anakuangalia
Anakufikiria
Atakuangazia eiiyeyeye
Mateso ni ya muda tu
Mtihani utaupita tu
Hata usiku uwe mrefu ndugu, uuuh kutapambazuka

Mimi sitolia kwa sababu uko na mimi Jalali
Yeiye sitolia mimi kwa sababu ukona mimi Maulana
Ni ukweli usilie mwenzio
Maulana yuko na wewe akujali
Kiganjani mwake amekueka eeaah hutobanduka

Ni heri nimtazamie
Mtazamie Mola
Ni heri nimkimbilie
Mkimbilie Mola
Ni heri nimtumainie
Mtumainie Mola

Mimi sitolia kwa sababu uko na mimi Jalali
Yeiye sitolia mimi kwa sababu ukona mimi Maulana
Ni ukweli usilie mwenzio
Maulana yuko na wewe akujali
Kiganjani mwake amekueka eeaah hutobanduka

Credits
Writer(s): Wilson Abubakar Radido, Gloria Muliro
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link