Sugua Gaga (The Refix)

Le-le, le-le
Lo-lo-lo, lo-lo-lo, ah
Oh, mie

Wewe Nyambonde, mimi Nyasumi
Matatizo yetu hayafanani
Wewe Nyambonde, mimi Nyasumi
Matatizo yetu hayafanani

Kama una shida unamwambia nani
Watu wanacheza mambo hadharani
Kama una shida unamwambia nani
Hata me za kwangu nimeacha nyumbani

Hatufanani, hatulingani
Hatufanani, hatulingani
Jiachie full mwanawani
Mshike mwenzio mkono kiunoni
Wote jiachie full mwanawani
Mshike mwenzio mkono kiunoni, tufanane

Usihofu hasara, hasara
Hakuna kulala
Usihofu hasara, hasara
Hakuna kulala
Usihofu hasara, hasara
Hakuna kulala

Kama shida tumezaliwa nazo
Njaa isiwe kikwazo
Tukazeni mjini mipango (njoo tuzisahau shida)
Kama shida tumezaliwa nazo
Njaa isiwe kikwazo
Tukazeni mjini mipango (njoo tuzisahau shida)

Kama kucheza tunacheza wote (njoo tuzisahau shida)
Kama kuimba tunaimba wote (njoo tuzisahau shida)
Na kama kucheza tunacheza wote (njoo tuzisahau shida)
Hata kuimba tunaimba wote (njoo tuzisahau shida)

Sina gari na nyumba, ila wema n'nao
Sina gari na nyumba, ila wema n'nao
Unataka kushindana na mimi (huwezi)
Maisha yangu uswahilini (siishi mbezi)
Unataka kushindana na mimi (huwezi)
Maisha yangu uswahilini (siishi mbezi)

Hii ni serikali ya kiswazi, bibi
Tunakaba jino na tunakaba choo
Hakuliki wala hakuendeki
Wao wana Dollar hmm, si tuna visenti
Inakuhusu?
Usije ukang'oka meno sababu ya uchu, ah

Kwanini usipende, kwanini usiende
Kwanini usicheze
Kwanini usipende, kwanini usiende
Kwanini usicheze

Wengine chakala chalala mashetani yamepanda (yamepanda)
Ameshika usinga, kanasa kwenye kibanda (kibanda)
Chakala chalala mashetani yamepanda (yamepanda)
Ameshika usinga, kanasa kwenye kibanda

Kibanda, ah
Kibanda, ah
Kibanda

Kama shida tumezaliwa nazo
Njaa isiwe kikwazo
Tukazeni mjini mipango (njoo tuzisahau shida)
Kama shida tumezaliwa nazo
Njaa isiwe kikwazo
Tukazeni mjini mipango (njoo tuzisahau shida)

Kama kucheza tunacheza wote (njoo tuzisahau shida)
Kama kuimba tunaimba wote (njoo tuzisahau shida)
Na kama kucheza tunacheza wote (njoo tuzisahau shida)
Hata kuimba tunaimba wote (njoo tuzisahau shida)

Sugua gaga (oh), sugua gaga (eh)
Sugua gaga (oh), sugua gaga (yeah-eh)
Sugua gaga (oh), sugua gaga (eh)
Sugua gaga (oh), sugua gaga (yeah-eh)
Sugua gaga (oh), sugua gaga (eh)
Sugua gaga (oh), sugua gaga (yeah-eh)

Usihofu hasara hasara
Hakuna kulala
Usihofu hasara hasara
Hakuna kulala

Shimo! He-he, eh
Bora kuwa na pengo kuliko kuwa na jino bovu
Alama ya muhuni si kovu
Ni hayo tu



Credits
Writer(s): Shaa
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link