Magonjwa Yote

Nguo walimvua
Nguo walimvua
Nguo walimvua
Nguo walimvua
Mwanadamu alipoasi mbele zako
Mwanadamu alipoasi mbele zako
Mungu wa huruma ulimhurumia
Mungu wa huruma ulimhurumia
Ulimtoa Yesu,kwa gharama kubwa
Ulimtoa Yesu kwa gharama kubwa
Oh-h-h-h-h

Nguo walimvua
Nguo walimvua
Misumari alipigwa, oh
Ni mijeleti alipigwa
Alipopigwa mijeleti ilitoka na nyama
Maumivu makali yeye aliyapata
Neno la Mungu linasema hivi
Kwa kupigwa kwake sisi tumepona
Kwa kupigwa kwake, umepona ukimwi
Kwa kupigwa kwake, umepona cancer
Kwa kupigwa kwa Yesu cancer wanapona
Amesema yeye
Amesema yeye
Ndugu yangu Mungu si mawanadamu atasema uwongo
Na kama Mungu akiahidi jambo, ni lazima atalitengeneza
Ni kuamini na kusimama katika neno
Kama Mungu asingeliweza kuponya ukimwi
Angeandika kwenye neno lake
Kwamba ninaponya magonjwa yote isipokuwa ukimwi
Kwa nini Mtanzania ufe?
Ikiwa mapepo yanakemewa yanapona
Basi ata ukimw Mungu ataweza ponya
Kama Musa alivyowaambia wana Isiraeli
Tazameni yule nyoka wa shebaha utapona
Na mimi ninakutakia simama katika neno
Umekwisha kuponya kwajina jina la Yesu

Alipopigwa mjeleti nyama zilimtoka
Alipochomwa mkuki, damu na maji zilitoka
Kwa msamaha huo, ushindi tumepata
Kwa msamaha huo, uzima tumepata
Kwa msamaha huo, uzima tumepata

Mana nguo walimvua
Mijeleti ulipigwa
Wala hujakufa, oh
Ni lazima watanzania
Swali ni kujiuliza
Ndugu zangu wapendwa
Swali kujiuliza
Kama wadhani umeshindwa, Mungu ameshinda
Mana nguo walimvua
Usiogope majibu ya daktari
Hayo majibu ya daktari wala siyo ya Mungu
Kwa kua umetangaziwa uponyaji
Kwa kupigwa kwake umepona
Aibu yako ilikuwa juu yake
Sio nisababu ya kulalamika
Na kwa nini ufe?
Leo hii nakutangazia uponyaji
Ukisha kumwamini Yesu na kutubu dhambi zako
Umekwishaa pona,usitende dhambi tena
Msamaha tumepata, uzima tumepata
Mana nguo walimvua
Nguo walimvua
Misumari alipigwa
Taji la miba alivikwa
Ule msumari ndio ushindi wako
Na ule msumari ndio uzima wako
Ile damu na maji igeusha ukimwi
Ile damu na maji, ndiyo inaponya
Nguo walimvua
Nguo walimvua
Wewe unayesikia sauti hii
Haijalishi unaumwa kiasi gani
Haijalishi watu wanasema namna gani
Wengine wanangojea kwamba utakufa
Lakini nakwambia hautakufa
Ili usimulie wema wa Bwana
Kama Yesu alivuliwa nguo
Basi zile aibu zako Baba amezibeba
Amini leo, mwamini Yesu kuwa Bwana na monkozi wa maisha yako
Hautakufa utaishi
Kwa sababu umesimama katika neno
Mwambie Bwana Yesu anatosha
Amini leo hii, wala usisikie vipimo vya daktari
Sasa ni zamu ya Mungu, kujitukuza
Ni wakati wa Yesu kuinuliwa, ni wakati wa Yesu kutukuzwa
Mwambie Bwana Yesu unataka uponyaji
Mpona aliyewaponya wenye ukoma
Ndugu yangu mtanzania, hatutakufa, tutaishi
Ili tusimulie makuu wa Mungu

Kwa kupigwa kwako Yesu
Msamaha tumepata
Kwa kupigwa kwako Yesu
Tanzania tumepona
Kwa kupigwa kwako Yesu
Africa tumepona
Nguo walimvua
Laana ya ukimwi haipo tena
Kumbuka Musa aliwaambia wana Israeli
Tazameni nyoka wa shama, mutakapo ona mtapona
Kumbuka Musa aliwaambia wana Israeli
Mtazame nyoka wa shama, nyi wote mtapona



Credits
Writer(s): Bahati Bukuku
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link