Milele
Eeh nataka kukaa na wewe (oh, oh, oh)
Eeh nataka we nikuimbie Baba (nikuimbie)
Kuwa karibu nawe, ninapenda
Kuwa karibu na wewe niko uhuru
We hunifunza njia zako, kweli nazipenda
Kwani njia zako nimetambua
Zanifaa mimi maishani mwangu
Unifunze, nitengeneze niwe kama wewe
Nataka kukaa na wewe (kukaa na wewe)
Siku za maisha yangu (ooh)
Nataka we nikuimbie Yesu (nikuimbie Baba)
Milele hata milele (oh yeah, oh yeah, oh yeah)
Yesu wangu
Kuwa na karibu nawe, ninapenda
Mahali wewe Yesu, we ulipo (we ulipo)
Nakutamani, wewe ni, tamaa ya roho yangu
We ni afadhali siku moja nawe
Kuliko maelfu mahali pengine (mahali pengine)
Kuna amani (furaha tele)
Nakupenda wewe
Nataka kukaa na wewe (kukaa na wewe)
Siku za maisha yangu (siku zangu zote)
Nataka we nikuimbie Yesu (nikuimbie)
Milele hata milele (oh yeah, yeah, yeah)
Eeh nataka kukaa na wewe (kukaa na wewe)
Siku za maisha yangu (ooh, siku zangu zote)
Eeh nataka we nikuimbie Baba (nikuimbie Yesu)
Milele hata milele (ooh-ooh)
Milele, nikuabudu Baba
Nikuimbie (nikuabudu)
Yeah, yeah, yeah, yeah, yeah, yeah
Siku zangu zote
Eeh nataka kukaa na wewe (kukaa na wewe)
Siku za maisha yangu (ooh)
Eeh nataka we nikuimbie Baba (we nikuimbie)
Milele hata milele (oh la-la, la-la, le-la, la-la)
Eeh nataka nitembee na wewe (nitembee na wewe)
Siku za maisha yangu (nitembee nawe)
Eeh nataka we nikuinue Baba (nikuinue yeah, yeah)
Milele hata milele (oh wewe, wewe, wewe, wewe pekee yako)
Oh wewe pekee yako
Siku zangu zote Baba nikuimbie
Nitembee na wewe
Nikuabudu Baba
Wewe pekee, wewe pekee, wewe pekee
Oh yeah, yeah, yeah, yeah

Credits
Writer(s): Mercy Masika
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
Other Album Tracks
© 2025 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.