Yesu Ndiye Baba
yesu wewe ndiye baba yangu yesu wewe ndiwe baba yangu nikikufuata sitapotea mbali ntapata uzima wa milele.
(repeat twice)
yesu ulisema wewe ndiye baba wa mayatima tena baba wa (repeat twice)
shida za dunia zimenisumbua na wandugu zangu wote wamefariki nimebaki peke yangu bila msaada kwa hio nakuja kwako unaisaidie.
jua ndugu yangu ukifariki leo utaenda peke yako na mpendwa wako atakukimbia kama vile mitume walimkimbia yesu wee
(repeat twice)
na maisha yangu naitoa kwako yesu
na mali ysngu naitoa kwako yesu na jamii yangu naitoa kwako yesu yesu yesu we mshindi wangu kimbilio langu weee

Credits
Writer(s): Angela Chibalonza
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
© 2025 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.