Unanitosha

Nimeenda mbali nchi mbali mbali zaidi tu through kusalee julianee,
Nimeenda America kenya uganda na Tanzania,
Kote nilikubalika walinibabaikia,
Sio zangu mia nyota ulionipatia, Mietarubandika kanigeuza kitu kipya,
Ooh ooh
Usichana wangu nakupa wewe nisiaibike milele,
Na maisha yangu nakupa wewe nisiaibike,

Unanatosha ×3
Hakuna mwingine kama we
Unanitosha ×3
Hakuna mimi bila we

Ebu fikiria haya yote unajuvunia,
Mambo ya dunia unuyobabaikia, Unategemea binadamu usitegeme,
Egeza macho Binguni eeh wasiku fanye mkia,
Ooh ooh
Usichana wangu nakupa wewe nisiaibike Milele na maisha yangu nakupa wewe nisiaibike

Unanitosha×3
Hakuna mwingine kama we
Unanitosha×3
Hakuna mimi bila wewe

When I think about your grace,
How you brought me from this mess,
How i long to see your face,
I just wanna shout and give you praise

When I think about your grace,
How you brought me from this mess,
How i long to see your face,
I just wanna shout and give you praise

Ushawai vaa kiatu bila kuongeza inner sole,
Pair mbili ya socks itoshe venye kiatu ni soo,
Ndivo amenitosha since me kuokoka, Mwenye hakufurahi ni kinyozi
Akidhani dredi ntaangusha,
Kenye ilienda chini ni magoti nikiomba msamaha,
Yahaya anaishi wapi kama si kinondoni Umefikiria kumwangalia karibu na msalabani,
Huko ndiyo base yamahopeless,
wakitaka wawesorted,
Bila breakfast za cornflakes,
A prayer in the morning inatukip fresh all day

Unanitosha ×3
Hakuna mwingine kama we
Unanitosha×3
Hakuna mimi bila wee

Unanitosha ×3
Hakuna mwingine kama we
Unanitosha×3
Hakuna mimi bila wee

There is no me without you
Hakuna mimi bila we



Credits
Writer(s): Amani, Juliani, R-kay
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link