Asiye Kujua Hakuthamini

Yeeeeh
Nalia na wangu mimi sina
Wa kunihurumia
Teena
Najuta kisa mapenzi mimi sina
Wa kunihurumia
Mimi
Nalia kisa mapenzi mimi sina
Wa kunihurumia
Teena
Nakonda kisa mapenzi mimi sina
Wa kunihurumia
Mimi jama namupenda yeye
Na yeye hanipendi kwanini
Mi mwenzenu namupenda yeye
Na yeye hanipendi kwanini
Baby soory hiii hiii
Baby sory sory
Baby sory sory sory sory weeeh
Baby sory sory
Baby mwenzako kwetu mimi sijauaa eeh
Nikiamua kurudi muda wowote nakubaliwa
Hata nikirudi piaa sishangazi mtu
Maana sitakuwa wa kwanza mie nikashangaiwa
Oooooooh ooooo

Ni mazoea wanaume kuwatesa wake zao nyumbani
Ni mazoea wanaume kudhalilisha wake zao jamani
Mke yaweza pita hata siku tatu hajamuona mume wake nyumbani
Watoto wake wanalia njaa swaumu paka kalala jikoni
Yeye yuko radhi kutumia na kimada hata mabilioni
Watoto wiki ya tatu wamefukuzwa hawana ada shuleni
Baba mtu analanda kutwa na vimada wala aibu aoni
Nifanye nini na ndo maana mi nasema mapenzi naogopa
Kuteswa mimi jama kwenye mapenzi hizi ndoa msizifanye hivyoo
Wengine wataziogopa weeee
Kupenda tena mimi tena basi eee
Miiimi kupenda sawa nakusubiri basi airpot
Kupendapenda ni maumivu ya moyo miimi eee sipendi eeeeee eeee eeeeeee



Credits
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link