Bwana Utetenao

Ee Bwana utete nao wanaoteta nami, upigane nao wanaopigana nami
Ee Bwana utete nao wanaoteta nami, upigane nao wanaopigana nami
Uishike ngao na kigao usimame unisaidie
Uutoe mkuki uwapige ooh wanaonifuatia

Uambie nafsi yangu mimi ni wokovu wako
Uutoe mkuki uwapige ooh wanaonifuatia
Uambie nafsi yangu mimi ni wokovu wako
Wananiuliza mambo nisiyoyajua

Ee bwana utete nao wanaoteta nami
(Bwana pigana nao) upigane nao(pigana nao) wanaopigana nami (naomba
Wee nitetee) ee bwana utete nao (nitetee)wanaoteta
Nami(Baba nitetee) upigane nao (pigana nao)wanaopigana nami

(Eehh)

(Waaibishwe, wafedheheshwe, warudishwe nyuma wanaotafuta nafsi yangu
Wafadhaishwe, wawe kama makapi
Mbele ya upepo, malaika wa bwana waangushe chini)

Wananilipa mabaya, badala ya mema
Kutwa kucha waniwinda, ili niteseke
Kiganjani mwako niweke (ee Mungu wangu) ubafuni mwako
Nikumbatie (Jehova wangu), mikononi mwako uniweke (ee Mungu wangu)
Ubafuni mwako nikumbatie, (Jehova wangu)
Eehh

Ee Bwana utete nao wanaoteta nami
(Bwana pigana nao)upigane nao (pigana
Nao) wanaopigana nami (naomba wee nitetee)
Ee Bwana utete nao (unitetee) wanoteta nami
(Baba nitetee) upigane nao (pigana nao) wanaopigana nami

Njia yao iwe giza na utelezi, malaika wa Bwana, akiwafuatia
Uharibifu wapate kwa ghafula
Waharibifu waanguke ndani yake
Mimi bure wasinisimange bure wasinigonge

Na wovu wao aloficha wamnase mwenyewe
Ila sababu wamenichimbia shimo la hasira
Mifupa yangu, wataitazama, Bwana ni nani
Aliye kama wewe, na nafsi yangu, itamfurahia Bwana

{Wapendeza Bwana wapendeza
Ee Bwana wapendeza, katika hili najua utatenda aah
Nitetee Bwana nitetee
Ee bwana nitetee, katika hili najua utatenda aah}



Credits
Writer(s): Jackson Mbao
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link