Chamba de Altura

Dunia nitapita, mwenyeji wetu mbinguni, safari yetu imepamba moto aliyeianzisha ni yesu mwenyewe,
ndivyo tunasema tutavumilia, japo kuna vikwazo majaribu na mateso,
shetani anatutega apate kutuangusha,
lakini emanueli ni mshindi wa yote, ndivyo tunasema tunasonga mbele,

Acha tuteseke ulimwengu ututese watu watusimange watunene mabaya hatutautupa ujasiri wetu tutaendelea kumfuata yesu

Shetani alijaribu kuwaua ndugu zetu, kaharibu ndoa nyingi amevuruga mitaji, akidhania ya kwamba tutamuacha yesu kumbe imani yetu inaendelea nijapopita katika bonde la mauti



Credits
Writer(s): Jorge Hernan Ramirez T.
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link