Mungu Mwenye Nguvu
Halleluya, Ndugu yangu Biblia inasema (Haleluja, My brother the Bible says)
waabudio wa halisi watamwabudu Bwana (Those who worship the Lord)
katika roho na kwa kweli (will do so in spirit and in truth)
Na ni wakati huu – ukiwa ndani ya gari lako, (At this moment – if you are in your car)
ukiwa ndani ya basi unasafiri, (In a bus travelling)
ukiwa unafanya kazi ndani ya ofisi yako (or in your office working)
Jiunge pamoja nami tumwinue Bwana (Join me to lift the Lord)
tumwambie unastahili uko mwenye nguvu (and tell him He deserves it he is mighty)
Ukiwa uliamka asubuhi (If you woke up this morning)
na haukumwambia kitu Mungu, (and you didn't tell God anything)
ni wakati wa kumwambia Bwana: (This is the time to tell Him)
Utukuzwe, uinuliwe ("You are praiseworthy, be lifted up")
Tujiunge pamoja kwa wakati huu (Join me now in telling God)
tumwambie Bwana "Wastahili" ("You deserve ")
Ikiwa uko katika maombi ya kufunga na kuomba, (If you are fasting and praying)
hebu tujiunge pamoja, Twende Haleluya (join me Let's go Halelujah)
Mungu wetu mwenye nguvu, ni Baba wa milele (Our mighty God, is the everlasting Father)
(Mungu wetu mwenye nguvu, Baba wa milele)
Mwenye nguvu, Ebeneza wa milele (He has the mighty, everlasting Ebenezer)
Wanipa mema, wewe ni mwenye nguvu, Baba wa milele (You grant me good things, you are mighty everlasting Gather)
Nguvu zako zashangaza dunia, uliumba mbigu pasi kugusa, hewani Baba (Your might astonishes the world, you created the world by the word of your mouth)
Neema, fadhili zako, kila asubuhi (Your goodness and mercies, every morning)
Ulizotenda zanifariji moyo niamkapo (And your works comfort me when I awake)
Nikikosewa na maisha, wanipa tumaini la kupata maisha Baba (When I am slighted in life, you give me hope in life)Japo wanicheka majirani (Though my neighbors laugh at me)
Wewe upo upande wangu, Uhimidiwe Yahweh ((You are in my side, Be praised Yahweh))
Wanipa tumaini la maisha Baba yangu duniani (You give me hope in life My Father)
Natembea nawe Baba yangu, (I walk with you my Father)
Hujaniacha mimi (You haven't abandoned me)

Kulala, kuamka ni kwa neema yako (When I sleep, and wake, it is by your grace)
Ndugu yangu Ulimpa mungu nini wewe (My brother, what did you give God)
kusudi uwe jinsi ulivyo? (For you to be the way you are?)
Usijivune bure ni neema yake baba. (Do not boast, it is by grace of God)

Baba utukuzwe, Baba uinuliwe (Father be praised, Father be lifed up) x3
Rafiki yangu, I love you, I love you Father yo (My friend I love you, Father)
Baba utukuzwe, Baba uinuliwe (Father be praised, Father be lifed up)
Maneno yafungua watu (Your words releases prisoners)

Sitasahau uliponitoa, Umenitoa mbali (I will not forget the distance you've brought me)

Credits
Writer(s): Solomon Mkubwa
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
Other Album Tracks
© 2024 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.