Kamili Gado
Nakucheck, check, check kila kona
Bara mpaka pwani bado sijakuona
Moyo wangu unauma mie, japo nikuone mi nitapona
Nimekwenda hospitali, mbali-mbali wanadai dawa yangu ni wewe
We ndo wangu daktari, sitapona, sitaishi tafadhali nielewe
Bado napenda kuishi bado nataka kuishi
Nionee huruma mwenzio (eh)
Nitibu hata kwa kiss, naishi kitatanishi mpaka useme ndio (eh)
Unavyokatika, katika zungusha, zungusha juu mpaka chini mi nabaki hoi
Unapo tingisha, tingisha binuka, binuka, back and forth mi nabaki hoi
Ma, unang'aa kistaa, kukuona ni adimu kama nyota ya jaha
Unasifika kila kona ya mtaa, njoo kwangu unitibu ili nipone kachaa
Dah, naahidi kukupenda cause nakupenda
Haya mawazo kuwa nitakutenda sitatenda
Twende wote popote unapokwenda, nakiri mimi
Mateka na kwako nime-surrender
Mtoto iko kamili gado, kamili gado
Mtoto iko kamili gado, kamili gado
Mtoto iko kamili gado, kamili gado
Kamili, kamili, kami, kamili, kamili gado
Mtoto iko kamili gado
Kamili, kamili, kami, kamili, Kamili gado
Watu wengi wanishangaa, kwa nini kila siku mi sina raha?
Afadhali ushinde njaa, kuliko maisha yako yakose furaha
Wana sema nimechizi, wana sema nimenock
Wana sema sema usiku wata lala
Njoo karibu nami tuwatoe nishai, wanoknock tuwatoe kafara
Furaha yangu ni wewe, maisha yangu ni wewe
Fikra zangu ni wewe tuu
Ndoto yangu ni wewe, maisha yangu haya hayana na tamani bila wewe tuu
Natamani siku moja uwe nami, kwa furaha na maisha yote
Ili twende nikutambulishe nyumbani, kwa kuwa una sifa zote
Nikubali uwe wangu mwandani, siku zote na maisha yote
Mapenzi yetu yachome wapinzani, daima na milele yote
Ah, you the one and only, sina nia ya kuzingua niamini shorty
Usishangae wakinyoosha vidole
Wanadhani uko Single wabadili story
We ndo wangu wife material, uzuri na tabia zinafuta changu kilio
Ado, ado mambo bado wape kisago, mtoto upo kamili gado

Usi-niache mi (eh), usi-niache mi
Usi-niache mi (eh), usi-niache mi
Ukiacha peke yangu na mawazo nakonda
Usiache mi
Ukiniacha peke yangu na mawazo nakonda
Iye, eh, eh (iye, eh)
Mtoto iko kamili gado, kamili gado
Mtoto iko kamili gado, kamili gado
Mtoto iko kamili gado, kamili gado
Kamili, kamili, kami, kamili, kamili gado
Mtoto iko kamili gado
kamili, kamili, kami, kamili, kamili gado
Nakupenda we, mi nakupenda wewe
Nakupenda we, mi nakupenda wewe
Nakupenda we, mi nakupenda wewe
Nakupenda we, mi nakupenda wewe
Kamili, kamili, kami, kamili, kamili, gado
Kamili, kamili, kami, kamili, kamili, gado
Kamili, kamili, kami, kamili, kamili, gado
Kamili, kamili, kami, kamili, kamili, gado
Kamili, gado
Kamili gado

Credits
Writer(s): Haule Joseph
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
Other Album Tracks
© 2025 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.