Nataka Kulewa

AM-Records
Ayaya yaya yaaa!
We niache niende niende, niende niende
We niache niende niende, niende niende

Mhhhh usiniulize kwanini
Sababu utanizinguaaa
Ukitaka jiunge na mimi
Kama ni pesa we kunywa nitanunua

Mi mwenzio sikuamini
Nikajuaga vya kuzua
Kumbe mjinga ni mimi
Ninaetunza wenzangu wanachukua

Aaah, oooh mapenzi
Mapenzi yalinifanya kama mtoto nilie vibaya
Mie siwezi ya walionikuta niache niseme jina
Ooh mapenzi, mapenzi yalinifanya katoto
Nilie vibaya na nina mengi yamenikaa moyoni

Leo nataka kulewa (lewa)
Mi nataka kulewa (lewa)
Nataka kulewa (lewa)
Zikipanda nimwage radhi

Nataka kulewa (lewa)
Mi nataka kulewa (lewa)
Nataka kulewa (lewa)
Zikipanda nimwage radhi

Ayaya yaya yaaa
We niache niende niende, niende niende
Ayaya yaya yaaa
We niache niende niende, niende niende

Mi kwa mapenzi maskini, 'kamvisha na pete kwa kumuoa
Kukata vilimi limi vya wazushi wanafiki wanaompoonda
Kumbe mwenzangu na mimii, ni bure tu najusumbua
Si tupo kama ishirini, mabuzi ving'asti wengine anawaonga

Ooh mapenzi yalinifanya kama mtoto nilie vibayaa
Mie siwezi walonikuta waniache niseme jina
Ooh mapenzi yalinifanya kama mtoto nilie vibaya
Na nina mengi, yamenijaa moyoni

Ehhh leo nataka kulewa (lewa)
Mi nataka kulewa (lewa)
Nataka kulewa (lewa)
Zikipanda nimwage ya radhi (tilalila)

Nataka kulewa (lewa, tilalila)
Mi nataka kulewa (lewa)
Nataka kulewa (lewa)
Zikipanda nimwage radhi

Ayaya yaya yaa
We niache niende niende (kulewa kulewa)
Niende niende (kulewa kulewa)
Kulewa kulewa

Weniache niende niende (kulewa kulewa)
Niende niende (kulewa kulewa)
Kulewa kulewa (iiih)
Kulewa kulewa (iiih)
Kulewa kulewa (iiih)
Kulewa kulewa (iiih)
Kulewa kulewa (iiih)



Credits
Writer(s): Diamond Platnumz
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link