Hello Baby

Mwanzo nilimwambia
Akifika tu Nairobi
Kuna manzi wengi asishangae
Tena nikamwambia
Hata siku akirudi
Kila mtu ajue mi niko naye

Mtoto mzuri niko naye
Nampenda leo, kesho na baadaye
Nimwambie nini mpaka afurahi
Kuwa niko naye

Umbo zuri, hips, I don't lie
Nipende, nikupende mpaka washangae
Japo niko Dar nitakuja baadaye
Unipe nifurahi

Hello, baby, japo niko mbali
Naomba penzi langu utambue
Hello, baby, wala usijali
Na mimi tunda langu ntunzie

Hello, baby, japo niko mbali
Naomba penzi langu utambue
Hello, baby, wala usijali
Na mimi tunda langu ntunzie

Mapenzi yamenivutia
Mpaka natamani urudi
Tuje kuishi wote Dar Es Salaam ah
Nahisi kuchanganyikiwa
Kwa huyo binti wa Nairobi
Nachohitaji, kuishi naye

Kijana mzuri niko naye
Nampenda leo, kesho na baadaye
Hata waseme nitadumu naye
Ye hufanya nifurahi

Ana tabia nzuri, he don't lie
Kwa penzi lake mpaka nazirai
Kabla hajafika mi nimeshawahi
Kweli najidai

Hello, baby, wala usijali
Na mimi tunda langu ntunzie

Hello, baby, japo niko mbali
Naomba penzi langu utambue
Hello, baby, wala usijali
Na mimi tunda langu ntunzie

Hello, baby, japo niko mbali
Naomba penzi langu utambue

Bas' come now
Si ukuje now
Wasikurubuni hao washika dau
Ukanidharau, ukanisahau
Sitakubali, no, no, no

Bas' come now
Si ukuje now
Wasikurubuni hao washika dau
Ukanidharau, ukanisahau
Sitakubali, no, no, no

Hello, baby, japo niko mbali
Naomba penzi langu utambue
Hello, baby, wala usijali
Na mimi tunda langu ntunzie

Hello, baby, japo niko mbali
Naomba penzi langu utambue
Hello, baby, wala usijali
Na mimi tunda langu ntunzie



Credits
Writer(s): Avril Nyambura Mwangi
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link