Baba Yao

Hauezi nieka chini Me ni baba yao me ni baba yao
Hauezi nieka chini me ni baba yao me ni baba yao
Hauezi nieka chini me ni baba yao me ni baba yao

Chini ya maji naona wakinyemelea
Na roho zao mbaya na zimezea
Walichukua vako yangu wakapotea nayo
Sa wanataka kuchukua Jina yangu wapotee nayo haiezekani kabisa watu wangu
Kwani hamuoni bado napumua hewa yangu
Niliamua kuchukua break kidogo
Sa hii wanapiga kelele wakispread uongo
Wanajaribu kunieka chini nainuka
Wanajaribu kunipiga mpini lakini naziskuma
Wanachora picha mbaya haina noma
Badae watajua nani anasonga

Hauezi nieka chini, me ni baba yao me ni baba yao
Hauezi nieka chini me ni baba yao me ni baba yao

Hauezi nieka chini me ni baba yao me ni baba yao

Hii kitu nimepewa na Mungu uezininyanganya
Mafans wangu sugu uezi wadanganya
Tumekua hapa zaidi ya miaka kumi
Nadhani sahii mnajua hizo matusi zenu hazitusumbii
Mwenye nguvu chali yangu mpishe
Compe ni Compe yule noma ashinde
Msani ustegemee sana watu wa...
Chali yangu hivi karibuni watakukimbia
Wachore mtu wangu jisaidie
Watoke mtu wangu jismamie
Wanakueka chini ndio wao wafeel wako juu
Badae wanaonyesha nani ako juu

Hauezi nieka chini me ni baba yao me ni baba yao
Hauezi nieka chini me ni baba yao me ni baba yao
Hauezi nieka chini me ni baba yao me ni baba yao

Kila siku kazi yangu imekua mistari
Kila siku kazi yao imekua utiaji
Nimedumu kwa industry nipe heshima yangu
Na hustle ndio uzeeni nikule bidii yangu
Unataka nisote mpaka nizimie
Ama mafans wangu wote wanikimbie
Haiwezekani kabisa watu wangu
Kwani hauoni namaliza album yangu
Utaharibu aje kitu haujatengeneza
Ama unajijazia ulisaidia kujenga
Tafadhali usifanye nicheke
Genge iko hapa mpende msipende
Hii ndio kitu me naminia
Na milele me nitasimamia
Nikisaidiwa na jeshi mzima
Na fans wangu zaidi ya milioni sita

Credits
Writer(s): Paul Julius Nunda
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link