Ndagushima

Ubhe rira ooh andera nda ngorora
Andera ngaranga ndere ndorora
Oh ndarandera ndorora

Si! Basi unavyoringa ringa unanichanganya we
Kama teja natinga tinga penzi lako starehe
Nitamaliza waganga wakunga ili usiniache we
Barua nishampa mshenga akifika ipokee baby

Kote nimeshapita ila wewe ndo unifaae
Ongeza ulichonipa mahaba yanivae
You're my heart, my pain, my gain, I don't lie eh
Aha! 'Cause I love you baby

Baby, baby, baby ndagushima chane (ma mama)
Oh bado natafuta ili nile nawe
Roho yangu itulie, mimi nawe
Kidogo nikipatacho nile hicho mi nawe

Baby, baby, baby ndagushima chane (ado)
Oh ma bado natafuta ili nile nawe (ado)
Roho yangu itulie, mimi nawe (ado)
Kidogo nikipatacho nile hicho mi nawe

Moyo wangu umependa penda, mahaba niongeze
Majaribu nashinda shinda sitamani wengine
Abiria mzigo nachunga penzi lisiningojee
Nimeshaonja utamu wa tunda, nipe tena nikole baby

Kote nimeshapita lakini we ndo unifaae
Ongeza ulichonipa mahaba yanivae
You're my heart, my pain, my gain, I don't lie eh
Aha! 'Cause I love you baby

Baby, baby, baby ndagushima chane (ado)
Maa mama oh bado natafuta ili nile nawe (ado)
Roho yangu itulie, mimi nawe (ado) (iye yeye)
Kidogo nikipatacho nile mi nawe

Baby, baby, baby ndagushima chane (oh mama)
Oh bado natafuta ili nile nawe (ado)
Roho yangu itulie, mimi nawe (ado ado) (iye yeye)
Kidogo nikipatacho nile mi nawe

Kurukure kwa njeliwe
Kurukure kwa njeliwe we
Kurukure kwa njeliwe
Kurukure kwa njeliwe we

Kurukure kwa njeliwe
Kurukure kwa njeliwe
Kurukure kwa njeliwe
Cause I love you baby

Baby, baby, baby ndagushima chane
Oh bado natafuta ili nile nawe
Roho yangu itulie, mimi nawe
Kidogo nikipatacho nile mi nawe

Baby, baby, baby ndagushima chane
Oh bado natafuta ili nile nawe
Roho yangu itulie, mimi nawe
Kidogo nikipatacho nile mi nawe (bado bado)

Mobenga

Ah! I love you baby yo
Bado, bado, bado, bado, bado, bado
Ah! I want to marry you oh
Bado, bado, bado, bado, bado bado
Ah! I love you baby oh

Bado, bado, bado, bado, bado, bado
Ah! I want to marry you oh
Bado, bado, bado, bado, bado bado
Ah! I love you baby oh
Aah wash



Credits
Writer(s): Ommy Dimpoz
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link