Nibebe

nakuepnda Sana sitaficha
Kama kukupenda ni makosa
sitaki kuwa sawa duniani
kwan nakupenda sio siri
wengi wakiyaona kwa macho
machozi yawatoka kila siku
sitachoka Mimi kukupenda
watakaosema n waseme



Credits
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link