Pastor

Yeah
Wacheni watoto wadogo waje kwangu
Mana ufalme wa mbinguni ni wao
J.rider where you are
Am the pastor of this church
Am the pastor of this church
Am the... its tongwe records
Fanya ishara ya msalaba
Upokee haya mahubiri
Mimi ni mteule, nina waletea injili
Nina ushuhuda wa kiroho
Bwana yuwa je msubiri
Natangaza upako,
na habari za mnara wa babeli
Wachungaji wanalumbana wakigombania waumini, wanalala
Wakiamka wanaanzisha dini
Hawaogopi damu ya msalaba
Bible wanaifanya biashara we sio yesu
Hatakama baba yako fundi seremala
We ni nani usokosea
kila unayemuombea anapona
Hatutaki shuda za uongo
Aminini nyote mtachomwa
Ndani ya vazi la suti
unakebehi Wakatoliki
Mtaleta dini zote ila R.C itabaki
Hata kristo alipoponya hakutaka malipo
Account yako imejaa sadaka zetu
Wakristo
Toba yako haijaswihi halafu unajiita una
Upako
So kila atakayenita bwana basi ataiyona pepo

We nina unayejiita nabii kwenye jamii
Hizi nyakati za mwişo soon atashuka masih
Piga magoti tuswali ameen
Piga magoti tuswali (ameen)
Waumini wamekimbia kanisa
Madhehebu yanaongezeka
Hizi nyakati za mwisho
Check manabii wa uongo
mwana wa adam ni waja (ameen)
Mwana wa adam ni waja(ameen)

2...
Laiti ningewezaaa
ningekugeuza jiwe la chumvi
Vipi unipangie sadaka pastor gani
We mlanguzi
Hakika ili neno listumikie mabwana wa2
Siasa na kanisa kama hadisi za cain na abel
Ka sabato wasokula kitimoto wala kambare
wanasadiki mbele ya haki
Wanaamini agano la kale
Mnatangaza ufahari wenu kwenye vikapu cha sadaka
Hakuna sadaka ya kweli kama kumchinja isack
Kanisa lako halifanani na ufalme wa jehova
Madhehebu yanajitenga kama makundi ya bongo fleva
Heshima ya mkatoliki
inashuka kama theluji
Dini mmeifanya miradi
kwa kivuli cha uchungaji
Kanisani mnaonyeshana
ufahali wa kuvaa bazeee
Hekalu mnalichafua
Kwa sadaka ya pedeshee
Biblia hujaimaliza
unataka uzima wa milele
Usije ukatuchoma moto
Ka wafuasi wa kibwetele

(Chorus).
We nina unayejiita nabii kwenye jamii
Hizi nyakati za mwişo soon atashuka masih
Piga magoti tuswali ameen
Piga magoti tuswali (ameen)
Waumini wamekimbia kanisa
Madhehebu yanaongezeka
Hizi nyakati za mwisho
Check manabii wa uongo
mwana wa adam ni waja (ameen)
Mwana wa adam ni waja(ameen)

Hizi nyakati za mwisho soon atashuka masih
Wewe una mamlaka gani mpaka unajiita nabii
Kukataza waumini wasivae mapambo
Kwa kujaji ili pesa wakupe sadaka
Na kisha unafanya mtaji
We m hungaji umekusanya waumini
Kwenye vijiji
Ukawaongoza sala ya toba
Kama yohanna mbatizaji
Unabeba gunia la zambi
Na yesu kumvika taji
Usiniekee mkono kichwani huna katamu ya uponaji
Imani yako ndogo kama punje ya radani
Uza mali zako zote pesa uwape maskini
Si unatupa kiini macho unatumia gari ya kanisa
Halellujah halellujah
kumbe unatuibia sadaka
Yesu hakuwa mganga wa kienyeji
Japo alimponya kipofu kwa tope la mate yake
Ila kwako napata hofu
Ehhh mungu napiga goti hiki kikombe kiniepuke
mwana wa adamu ni waja basi tungoje ashuke
(Chorus).
We nina unayejiita nabii kwenye jamii
Hizi nyakati za mwişo soon atashuka masih
Piga magoti tuswali ameen
Piga magoti tuswali (ameen)
Waumini wamekimbia kanisa
Madhehebu yanaongezeka
Hizi nyakati za mwisho
Check manabii wa uongo
mwana wa adam ni waja (ameen)
Mwana wa adam ni waja(ameen)

Angalieni mtu asiwadanganye
Mana wengi watakuja kwa jina langu wakisema. mimi ni christo
Nao watadanganya wengi(halellujah)
Emeeen .
Manabii wengi wa uwongo watatokea
Kutakuwa na dhiki kubwa siku hiyo
Je hamsadiki ya kuwa hizi ni ishara kwamba mwana wa adam ni waja
Emeeen .
Basi hakikisheni mkiswali mana hamjui saa wala siku
I am the pastor of this church
I am the pastor of this church
I am the...
Its tongwe records...



Credits
Writer(s): Cuates Castilla, Jose Diaz De Castilla, Miguel Diaz De Castilla
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link