Ningefanyaje (feat. Avril & Rossie M)

sio siri mamaa,
nilikujali sana na kujiheshimu,
nilijua kwamba Mungu akipenda ntakuwa nawe,
usizani kwamba nilikusudia kutengana nawe,
mi sijui hapa nilipo saa hii nimefika vipi,

alivyoniingia (sikumbuki)
akanizoea (sikumbuki)
moyo akanipa na wangu nkautua

alivyoniingia (sikumbuki)
akanizoea (sikumbuki)
moyo akanipa na wangu nkautua

ningefanyaje na we haukua karibu na mimi
lakini ye ndie alikua ananijali mm
ntafanyaje na ye yupo tayari kuishi mm
lakini wee ndie tulizo la moyo wangu

sio siri baba
nilikupenda sana na kukuthamini
nikiamini kwamba Mungu akipenda ntakua wako,
mi najua kwamba umekusudia kutengana nami
na mi sijui hapa tulipo ooh ooh
tunatoka vipi

alivyoniingia (sikumbuki)
akanizoea (sikumbuki)
moyo akanipa na wangu nkautua

alivyoniingia (sikumbuki)
akanizoea (sikumbuki)
moyo akanipa na wangu nkautua

ningefanyaje na we haukua karibu na mimi
lakini ye ndie alikua ananijali mm
ntafanyaje na ye yu tayari kuishi mm
lakini wee ndie tulizo la moyo wangu

ningefanyaje na we haukua karibu na mimi
lakini ye ndie alikua ananijali mm
ntafanyaje na ye yu tayari kuishi mm
lakini wee ndie tulizo la moyo wangu

ningefanyaje
(oooh ayaa ya ya)



Credits
Writer(s): Avril Nyambura Mwangi
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link