Ni Soo

Penzi unalonipa mi sijitambui ni soo
Mamaa
Mapenzi unayonipa mi sijielewi ni soo
Baby
Penzi unalonipa mi sijitambui ni soo
Mamaa
Mapenzi unayonipa mi sijielewi ni soo
Baby
Kama pesa hushangai
Gari kwako si thamani
Na nishatoka zamani
Udanganyike na nini
Kama pesa hushangai
Gari kwako si thamani
Na nishatoka zamani
Udanganyike na nini
Napenda penzi lako unavonipa
Kama njia tawi kambi nishapata
Unanipa kile nachotaka
Baby, na
Napo, touch your body
Unashtuka
I love you girl kwangu
We malaika
Napo, touch your body
Unashtuka
I love you girl kwangu
We malaika
Penzi unalonipa mi sijitambui ni soo
Mamaa
Mapenzi unayonipa mi sijielewi ni soo
Baby
Penzi unalonipa mi sijitambui ni soo
Mamaa
Mapenzi unayonipa mi sijielewi ni soo
Baby
Nna raha sana nikiwa nawe
Waseme tu sitokuacha we
Naona kama bahati kua nawe
Siamini kama niko na wewe
Nna raha sana nikiwa nawe
Waseme tu sitokuacha we
Naona kama bahati kua nawe
Siamini kama niko na wewe
We dada kwako nimekolea
Kwa penzi lako unalonipa
Nafanya fasta nisije chelewa
Nifunge nawe pingu za maisha
I love you so much baby do me right
When you kick me baby I will die
I love you so much baby do me right
When you kick me I will die
Ri-i-i-i-ght I will die
Mmmmnh oooh
Penzi unalonipa mi sijitambui ni soo
Mamaa
Mapenzi unayonipa mi sijielewi ni soo
Baby
Penzi unalonipa mi sijitambui ni soo
Mamaa
Mapenzi unayonipa mi sijielewi ni soo
Baby
Basi nipe na mi nikupe
Mapenzi masham sham sham sham
Nipe nikupe nipe nikupe
Basi nipe nami nikupe
Mapenzi matamu tamu tamu tamu
Basi nipe nipe
Nikupeeee
Ah ahhh ahh
Mmmh ah eh
Pasha
Kgt
G records



Credits
Writer(s): Pasha
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link