Unatosha

(nimeubeba msaraba wangu nikufuate wewe uliyenipenda nimeitua mizigo yangu kwako nakufuata wewe unayenipenda)×2

unatosha... wanitosha... Mungu wa agano wewe wanitosha)×2
Nasalimu amri yako eeh Baba sauti yako nimeisikia.umenivuta Bwana karibu nawe karibu zaidi natamani niwe)×2
×2
Moyo wangu u sawa sioni hofu wanitosheleza wanitoshaa mwingine mie sina wewe wanitosha wanitosha wanitosha
×2



Credits
Writer(s): Eunice Njeri
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link