Follow You

mie si lazima nijue Unachoniwazia mie si lazima
nijue Njia zako hakika Mambo yako sambamba
Mipango yako sawa, sawa Njia zako hakika Mambo
yako sambamba Mipango yako sa.a... wa

where you go, al go, where you stay al stay, where you move al move al move, i will follow you!!
2.hakuna dhiki kwako, hakuna chuki kwako, wala unafiki kwako, baba kwako, ni marafiki kwako, kuna amani kwako, baba kwako, hakuna vita kwako, hakuna magonjwa kwako, wala talaka kwako, baba kwako
kuna upendo tele kwako, furaha kwako, umoja kwako, baba kwako



Credits
Writer(s): Gloria Muliro
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link