Matokeo

Sasa nangoja matokeo x3
kutoka kwake jalali
mimi nime fanya mitihani mingi Sana ha!
nimepitia madarasa mengi sana ha!
Na kila darasa yawe umekuwa mwalimu wangu
Umenifunza kuomba Umenifunza sibira umenifunza kungoja hee we! nimekuwa mwanafunzi mwema kwako bwana

Sasa na ngoja matokeo x4
kutoka kwake jalali

Ni usiku mrefu mbona hakupambuzuki ohh!
Nimeharibu Sana kukupendeza maishani mwangu

Nimefanya kazi yako hiyo umeona YESU
Nimetoa fungu la kumi hiyo umeona baba

Nangojea na ngojea matokeo yangu ulisema nikitoa nitabarikiwa

Sasa na ngoja matokeo x4
kutoka kwake jalali x4
Asubuhi ikifika ije na amani
Asaubuhi ikifika ije na kicheko
Asubuhi ikifika ije na Furaha
Asubuhi yangu ikifika ije na jibu languuu

Sasa na ngoja matokeo x8
Kutoka kwake jalali x8



Credits
Writer(s): Gloria Muliro
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link