Mnyunyuzi Wangu

Uninyunyiziaye maji, wakati wa ukame
Huwachi ninyauke, oh nakupenda
Uninyunyiziaye maji, wakati wa ukame
Huwachi ninyauke, oh nakupenda

Nakupenda, nakupenda
Mnyunyizi wangu, oh nakupenda
Nakupenda, nakupenda
Mnyunyizi wangu, oh nakupenda

Kama mti kando ya mto, hivyo ndivyo nilivyo
Mnyunyizi wangu, oh nakupenda
Kama mti kando ya mto, hivyo ndivyo nilivyo
Mnyunyizi wangu, oh nakupenda
(Nakupenda)

Nakupenda (nakupenda), nakupenda (wewe mnyunyizi wangu baba)
Mnyunyizi wangu, oh nakupenda

(Kweli kabisa nakupenda)
Nakupenda, nakupenda
Mnyunyizi wangu, oh nakupenda
(Ndio nakupenda)
Nakupenda Jehova, sina mwingine ila wewe tu, wewe mnyunyizi wangu
Unaninyunyizia maji wakati wa ukame, huachi ninyauke
Uneninawirisha Jehova, Jina lako nalitukuza
Nakupenda kwa roho yangu yote, nitakutumikia maishani mwangu Jehova
Nakuabudu, nakuimbia wimbo maana wewe ni Mungu wangu

Nakupenda, nakupenda
Mnyunyizi wangu, oh nakupenda
Nakupenda, nakupenda
Mnyunyizi wangu, oh nakupenda

(Nakiri kwamba nakupenda)
Nakupenda, nakupenda
Mnyunyizi wangu, oh nakupenda



Credits
Writer(s): Sarah Kiarie
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link