Niinue

1
Mbele ninaendelea ninazidi kutembea
maombi uyasikie eeh bwana unipandishe

Mbele ninaendelea ninazidi kutembea
maombi uyasikie eeh bwana unipandishe

Ee bwana uniinue, kwa imani nisimame,
nipande milima yote ee bwana unipandshe2

2.
Si natamani nikae mahali pa shaka kamwe
hapo wengi wanakaa kuendelea naomba

Nisikae duniani ni mahali pa shetani
natazamia mbinguni nitafika kwa imani

Repeat chorus

3
Nataka nipandishwe juu zaidi yale mawingu
nitaomba nifikishwe ee bwana unipandishe

Nataka nipandishwe juu zaidi yale mawingu
nitaomba nifikishwe ee bwana unipandishe

Repeat chorus



Credits
Writer(s): Sarah Kiarie,
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link