Niumbie Na Roho Mtakatifu

Niumbie moyo safi, niumbie moyo mpya moyo wa kunyenyekea na kubondeka mbele zako×2
(Niumbie Baba)Niumbie moyo safi, niumbie moyo mpya moyo wa kunyenyekea na kubondeka mbele zako
(Nakuomba Baba)Niumbie moyo safi, niumbie moyo mpya moyo wa kunyenyekea na kubondeka mbele zako
(Nisikilize Yahwe)Niumbie moyo safi, niumbie moyo mpya moyo wa kunyenyekea na kubondeka mbele zako
(Daudi akasema)Niumbie moyo safi, niumbie moyo mpya moyo wa kunyenyekea na kubondeka mbele zako
Niumbie moyo safi, niumbie moyo mpya moyo wa kunyenyekea na kubondeka mbele zako×2
(Niumbie Baba)Niumbie moyo safi, niumbie moyo mpya moyo wa kunyenyekea na kubondeka mbele zako
(Niwapende wanadamu)Niumbie moyo safi, niumbie moyo mpya moyo wa kunyenyekea na kubondeka mbele zako
(Niumbie Yahwe)Niumbie moyo safi, niumbie moyo mpya moyo wa kunyenyekea na kubondeka mbele zako
Roho Mtakatifu, hakuna kama Wewe
Roho wake Kristo, hakuna kama Wewe
Roho wake Baba, hakuna kama Wewe
Roho wa uweza, ni nani kama Wewe
Roho wake Baba, hakuna kama Wewe
(Nasema hakuna...)haaakuna, kama Wewe, Hakuna Mungu kama Wewe

(Imba hakuna)haaakuna, kama Wewe, Hakuna Mungu kama Wewe

Roho wa amani, hakuna kama Wewe
Roho wa upendo, hakuna kama Wewe
Roho Mtakatifu, hakuna kama Wewe
Roho wake Kristo, ni nani kama Wewe
Roho Wake Baba, hakuna kama Wewe
(Nasema hakuna)Haaakuna, kama Wewe, Hakuna Mungu kama Wewe
(Imba hakuna)haaakuna, kama Wewe, Hakuna Mungu kama Wewe×8



Credits
Writer(s): Anthony Musembi
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link