Unastahili Na Ni Wewe

Unastahili Kuabudiwa

(solo) Unastahili Kuabudiwa wewe ni Mungu Baba
(all) Unastahili Kuabudiwa wewe ni Mungu Baba

Unastahili Kuinuliwa wewe ni Mungu Baba
(all) Unastahili Kuabudiwa wewe ni Mungu Baba
Unastahili kupewe sifa wewe ni Mungu Baba
(all) Unastahili Kuabudiwa wewe ni Mungu Baba
Unastahili Kuabudiwa wewe ni Mungu Baba
Unastahili Kutawala Baba wewe ni Mungu Yahweh
Sema wewe, (ni Mungu Baba, wewe ni Mungu Baba)
Sema wewe, (ni Mungu Baba, wewe ni Mungu Baba) (Halleluujah)
Milele wewe, (ni Mungu Baba, wewe ni Mungu Baba)
Woo, Unastahili Kuabudiwa wewe ni Mungu Baba
(all) Unastahili Kuabudiwa wewe ni Mungu Baba

Ni Wewe
(solo) Ni wewe, Ni wewe Bwana, Ni wewe, Ni wewe Bwana
Ni Wewe tunayekupenda, ni Wewe tunakuabudu
(all) Ni wewe, Ni wewe Bwana, Ni wewe, Ni wewe Bwana
Ni wewe tegemeo, Ni wewe tunakuabudu
(all) Ni wewe, Ni wewe Bwana, Ni wewe, Ni wewe Bwana
Kimbilio letu, Jehovah Shammah, Ni wewe tunakwabaria
(all) Ni wewe, Ni wewe Bwana, Ni wewe, Ni wewe Bwana
Maishani mwangu sitakuacha, ni wewe tunakupenda
(all) Ni wewe, Ni wewe Bwana, Ni wewe, Ni wewe Bwana
Ni wewe, Ni wewe Bwana, Ni wewe Bwana, Ni wewe Bwana
(all) Ni wewe, Ni wewe Bwana, Ni wewe, Ni wewe Bwana
Instrumental

Credits
Writer(s): Anthony Musembi
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link