Tulia

Tulia tulia na ujue
Mungu ako
Upitapo chini ya uvuli wa mauti
Usiwe na hofu
Asema Bwana yuko pamoja nawe
Atembea nawe
Afuta machozi
Tulia na ujue yeye ni Mungu
Shida nyingi mateso mengi
Kilio kingi duniani
Jipe moyo utashinda
Aliyeanzisha kazi nzuri ndani yako
Ni mwaminifu kutimiza



Credits
Writer(s): Evelyn Wanjiru, Vicky Kitonga
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link