Ma Fans

Mafans mi nawapenda wo
nawapenda wo (wote)
ma-haters kama hamnipendi
kuleni sembe, meza wembe
nawapa live kama Saida Karoli
na wenye wivu wajinyonge
mafans mi nawapenda wo
nawapenda wo (wote)

mafans mi nawapenda wote
na ma-autographs nita-sign siku zote
nawashukuru walioni-hold down
na kwa hii rap game sitawa-let down
I promise, mi nawapa promise tu
album yangu itakuwa hits tupu
so, you better act like you know
wakiuliza nani anaroga sema Prezzo
oh really though once again here we go
Mr. Jackson knockin knockin on your door
nawapa vitu, haters nawapa mambo
nawapa vidonge wakitema shauri yao
mi na-count blessings zangu jo
na mpende msipende ndivyo ilivyo
on my two still moving on strong
waliodhani sita-make it damn you dead wrong
na kama uko down basi sing my song
kama ku-floss is wrong
I can't be right
na kama uko down basi sing along
kama ku-floss is wrong
mazee I can't be right
mafans

mafans mi nawapenda wo
nawapenda wo (wote)
ma-haters kama hamnipendi
kuleni sembe, meza wembe
nawapa live kama Saida Karoli
na wenye wivu wajinyonge
mafans mi nawapenda wo
nawapenda wo (wote)

verse two na-dedicate kwa ma-fools wenye PhDs
ma-playa hating degrees wana...
taka kumvuta Prezzo down
lakini mimi nawa-show haiwezekani clown
all this kwa sababu ya madame
wao wanasema nawa-drive insane kwenye membrane
and I'm like "sure you right"
and if you're down with CMB for sure we'll be tight
and if you're not down basi take a hike
coz I got my fans and with that I'm alright
so, siwahitaji nyie
wala hamnibabaishi nyie
nazidi kuzipokea tele
baraka zangu nikisonga mbele
critics, siwahitaji nyie
wala hamnibabaishi nyie
nazidi kuzipokea tele
baraka zangu nikisonga mbele
haya twende
everyday napokea baraka zangu nikisonga mbele
haya twende
kila siku napokea baraka zangu nikisonga mbele
mafans

mafans mi nawapenda wo
nawapenda wo (wote)
ma-haters kama hamnipendi
kuleni sembe, meza wembe
nawapa live kama Saida Karoli
na wenye wivu wajinyonge
mafans mi nawapenda wo
nawapenda wo (wote)

sasa thanks to my fans nimekuwa super star
thanks to the radio presenters
waliopiga ngoma zangu rewind selecta
DJ Styles and... the heavy hitters
in general I want to shukuru the media
for making a brother like me get even bigger
CMB my family nawaona
forget the haters let's make this paper
Adam and the whole staff of Insyder
thanks for holding me down mi nawapenda
wote California yote
Clemo wazi jo kwa kunipa genge
Big Ted, Tru Blaq na Big Kev
thanks to y'all mazee your boy's breaking bread
off my head nawapenda wo
just a couple jamaas that I know
oh, mafans mi nawapenda wote
autographs si nta-sign siku zote
mafans mi nawapenda wote
na ma-autographs nita-sign siku zote

mafans mi nawapenda wo
nawapenda wo (wote)
ma-haters kama hamnipendi
kuleni sembe, meza wembe
nawapa live kama Saida Karoli
na wenye wivu wajinyonge
mafans mi nawapenda wo
nawapenda wo (wote)



Credits
Writer(s): Brian Nguah
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link