Biddi Yangu

Cali... California

California vitu mzuri tunaendelea mbele
Hakuna cha huzuni hapa furaha ni tele
Kwa wale wamesahau mziki yangu bado ni genge
Kwa wale wanatudharau tafadhali msifanye ni cheke
Sitawadanganya jamaa nimerudi studio leo na naskia poa
Na najua mnapenda kuskia sauti yangu
kwa hivyo ngoma poa tu ndio ntazidi kutoa
Unatulia nini bana amka tuzitoke
Unapanguza nini bana wacha jasho imwagike kwote
Ata ka kuna ukame tunajituliza na maji baridi
Clemo roundi hii ameniambia niwakute na ngoma mbili mbili
Ah morale morale wacha iwabambe
Na mjipandishe juu ka bendera na muimbe hii ngoma ka national anthem

Nataka tu heshima yako
Nataka tu furaha yako
Ndio ujue mahali bidii yangu imetoka

Nataka tu heshima yako
Nataka tu furaha yako
Ndio ujue mahali bidii yangu imetoka

Nimeacha watu wengi sana wakule roundi hii niachieni pia me ninone
Safari yangu ningepeleka mbio lakini nimeamua kuenda pole pole
Usifikirie nimechoka niko na nguvu ka zile ngombe nyiuona mtaani
Sitachoka kutafuta majani
Sitachoka kuendelea na safari
Wacha mguu zangu zitembee
Wasanii wote wa nguvu wapepee
Kimaisha na kila kitu wanafanya
Ni bidii na utafika pali unataka
Ata nikigonga soo bado mziki zangu sitaacha kusambaza
Nimeamka chali yangu na sioni tena ka jalala
Weka mattress kando tunaenda kazi
Weka stress kando mambo ikue safi
Morale morale watu wang'are
Morale watu watambe
Na mjipandishe juu ka bendera na muimbe hii ngoma ka National Anthem

Nataka tu heshima yako
Nataka tu furaha yako
Ndio ujue mahali bidii yangu imetoka

Nataka tu heshima yako
Nataka tu furaha yako
Ndio ujue mahali bidii yangu imetoka

Bidii yangu imelazimisha watu wengi sana waruke
Asali bado nawapatia ntaiongeza sukari utamu isishuke
Nikipanda tafanya vile roho yangu inataka
Sitapotea tena ata nikiona wengine wakitukacha
Pilipili niaje siukuje unisaidie kuakamata
Lakini sijui itakua aje tukiwaroga sana
Sijui watajisaidia aje tukiwabonda sana
Tutawafundisha kupumzisha nyundo na bado waeze ku-flexx mkono vizuri
Kuingia gym kupanua kifua kiasi na kupumua vizuri

Nataka tu heshima yako
Nataka tu furaha yako
Ndio ujue mahali bidii yangu imetoka

Nataka tu heshima yako
Nataka tu furaha yako
Ndio ujue mahali bidii yangu imetoka

Nataka tu heshima yako
Nataka tu furaha yako
Ndio ujue mahali bidii yangu imetoka

Nataka tu heshima yako
Nataka tu furaha yako
Ndio ujue mahali bidii yangu imetoka



Credits
Writer(s): Brian Nguah
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link