Ollah
Ooh
Ollah
Yoh Khali
Ollah
Eeeeeh... Eeh.!
Ey it's the OG Khaligraph Johns
Alongside Christian Bella
Ollah ma, for the lovers out there
Olle Ollah
Ollee Ollah.
Iiiih iih iiihh iih iiiih
Ollee Ollah
Ollee Ollah
Yeyeyeyeeeh
Nimedata kwa huyu mwanamke
Kila nikilala ananijia ndotoni
Ananipenda mpka sielewi ma
Kuna nini kwani mbona ananichanganyaa
Akitembea anamwendo kama kinyonga eeh
Mtoto mzuri kama malaika
Najiuliza kipi nimefanya kupendwa na yeye eeeh
Eiyee yeeh yeeh yeeh
Ollee Ollah (Eiyeee yeeh yeeh yeeh)
Ollee Ollah (Ollah ollah ollah ollaaah)
Ollee Ollah (Ollah ollah ollah ollaaaah)
Ollee Ollah
Wowooo wowooo
Kesho ni siku yetu ya harusi
Tutafunga pingu ya maishaa
Tutakula kiapo kwa Mungu Ba
Mbele ya dunia hatutokuja achanaa
Maneno ya wapambe hapa hakuna nafasi
Vyuma vimekaza milango hakuna wala hata dirisha eh
Nawacheka kwa dharau mama
Wambea poleni hakuna pa kupenyeza
Eeh
I can't describe vile nahisi
Pendo langu kwako ni mazishi
Usijali na zao malalamishi
Ni wivu tu jua wanatamani kuwa sisi
Bella
Chonde chonde mpenzi usije niacha kwenye mataa
Nakuahidi kukupenda mpaka mwishoo
Mbona simu fake zote nimeshazimaa
Kwa moyo wa maisha we ndo kila kitu changu eeeh
Niende tena wapi kwako nimeshafikaa eeh
Olleee ollah (napokuona akili yangu ina chizi)
Olleee ollah (girl you're an angel believe me)
Olleee ollah (I wanna be on your side till I die)
Ollee ollah
Umenifikisha juu napepea mushtafi
Juu ya hewa we ndo air mustashi
Umenipea love crazy true them other couples cannot the way we do
You're a queen unastahili sifa kukuserve baby mi sina budi
The shawty of ma dreams ring me nakuvisha
Cause you look like a star in a movie
And I know sometimes inaweza kaa ka sijali
Ni hali ya maboy wakitafuta mali magari
Sitaki unishikwe na maswali but lengo langu eti uishi kifahari
So I promise to be here every day (mmmh)
And this song in God that I pray (mmmh)
Na between us everything is gonna be okay
Cause you really blown me away
Ollee ollah (napokuona akili yangu inachizi)
Ollee ollah (girl you're an angel believe me)
Ollee ollah (I wana be on your side till I die)
Ollee ollah (cause when I see you moyo wangu unafurahi)

Credits
Writer(s): Christian Bope Bella
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
© 2025 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.