Sifa Zivume

nazo sifa za Mungu baba zivume
kila mtu aelewe kuna aliye juu
azitandazaye mbingu kama shuka
huziita nyota zote kwa majina
hakuna hata moja huponyoka
kutoka kwake ndiye aliye juu zaidi
ni Mungu mweza yote Yehova



Credits
Writer(s): Martha Mwaipaja
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link