Jaribu Kwa Mtu

Jaribu kwa mtu sio kwamba ametenda dhambi bali ni wakati tuu Mungu
ameruhusu mtu apitie
jaribu kwa mth sio kwamba ana kosa
bali ni wakati tu anapitia
kama dhahabu ipitavyo kwenye moto
ndivyo ingaavyo



Credits
Writer(s): Martha Mwaipaja
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link