Mafunzo ya dunia

Mafunzo ya Dunia
Niishi ni ose
Nisote nikope
Nipate ya wote
Utatembea pengi
Na macho ni mingi
Sikio ni mbili
Tumia akili
Uwe wa kwanza, ah
Usiwe wa pili
Maisha si movie katika hizi enzi

Oooh Dunia mbona hukunipa penzi
Maisha haya kwako hapa ni magumu
Ninavumilia mwisho nitajivunia ya Dunia mbona hukunipa penzi
Mimi ninashangaa, mimi ninashangaa aah
Mimi nishangaa, mimi ninashangaa, aah (uh, oh)

Mimi ninashangaa, nilifanya nini
Ili niishi ivi
Maisha yangu yangu duni
Naimba hii muziki nipate riziki
Mwisho nitanawiri niendeshe Mercedes, oh
Nitapaa shida za Dunia niziache nyuma niendelee, (niendelee)
Na nitapaa shida za Dunia niziache nyuma niendelee

Aah,ah Dunia mbona hukunipa penzi
Maisha haya kwangu hapa ni magumu
Ninavumilia mwisho nitajivunia
Ya Dunia mbona hukunipa penzi
Mimi ninashangaa (Mimi ninashangaa, mimi ninashangaa)
Mimi ninashangaa, ninashangaa uh, ooh
Mimi ninashangaa (Mimi nashangaa, mimi ninashangaa)
Mimi ninashangaa, aah (uuh, uh)

lalalalaa
lalalalaa
lalalalaa
lalalalaa



Credits
Writer(s): Bien Aime Baraza Alusa, Delvin S Mudigi, Polycarp O Otieno, Willis Austin Chimano
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link