Blue Uniform

Sina makosa afande uniwie radhi
Nimetoka kuimba
Na kitambulisho mi sina nimepoteza wallet na
Sijachukua nyingine

Na sijakataa kosa nililofanya ah
Sijakataa kitambilisho sina
Sijakataa chini nimeshaketi
Usiniseti afande usiniseti afande

Hey you in the blue uniform
If I have wronged you I will reform
Raia analia
Hey you, hey you

Heey
Natambua kwamba hamna kosa, ulilofanya eh
Kitambulisho hicho hauna nikufanyeje
Mapato yangu nimadogo, nategemea kidogo
Ni kazi yangu ujira wangu

Hujakataa kosa ulilofanya
Hujakataa chini umeshaketi
Hujakataa kitambulisho huna
Nitakuseti raia, fuata sheria

Hey you in the blue uniform
If I have wronged you I will reform
Raia analia
Hey you, hey you

Aaah... ahaa...
Umezoea kuchelewa
Siku mingi nimekulenga
Naona watuzoea (mmmh)

Kuanzia leo nakuonya, ujichunge
Ama nitakuweka ndani weeiiih
Hujakataa kosa ulilofanya eh
Nakuonya we mwananchi wewe
Ntakuacha leo uende nyumba
Onyo kwako we Raia wee

Hey you in the blue uniform
If I have wronged you I will reform
Raia analia
Hey you, hey you

In the blue uniform...
In the blue uniform...
In the blue uniform...
In the blue uniform...

Hey you, hey you
Hey you, hey you
Hey you, hey you
Hey you, hey you

Hey you in the blue uniform
If I have wronged you I will reform
Raia analia (kilioo)
Hey you, hey you

Hey you in the blue uniform
If I have wronged you I will reform
Raia analia
Hey you, hey you

Hey you in the blue uniform
If I have wronged you I will reform
Raia analia
Hey you, hey you



Credits
Writer(s): Bien Aime Baraza Alusa, Delvin S Mudigi, Polycarp O Otieno, Willis Austin Chimano
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link