Kiasi

Genge jo inanibamba mbaya
Yani hii mziki yani
Nikiiskia yani mi huskia sijui aje
Nika nipige nduru
Watu!
mnajua niaje
Kitu yoyote ntawaambia leo
Mtanijibu tu
Maisha yangu tamu siku inanirarukia mbaya lakini nimeamua kuituliza
Kabla pombe iniue itabidi nimeiwacha kabisa ama nianze kuikunywa
Ona vile nywele zangu zimerefuka mpaka watu wananiambia zipunguze
Walikua wanafkiria nimeacha ngoma
sababu nimepotea ngoma ni mingi ngoma si
Na zote ziko poa ka mchele imeekewa mnazi ama imegusiwa
Ka hii ngoma inakubamba basi si ukatike
na ka inakushika si uongeze sauti tenje
Chukua chali yako chukua manzi yako mweke karibu zitoke nae
Leo ata staki utupe mkono juu me nitingishie tu kichwa yako
staki ukatike sana mpaka uvunje mguu we nisaidie tu kuimba
Hawa watu jana walinishika ikabidi nimewaachia yao
Beste yangu akaanza kubishana nao akanyamazishwa na ma mbao
Eeeh! chali yangu haujawai skia maneno ya hawa watu hawana huruma ata
Juzi gari ya mafuta ikaanguka si waliangalia watu wakiiva
Nyama choma kila mahali kachumbari poa lakini iongeze kitungu
Wale wameponea wapeleke hosi watatibiwa na madaktari
Hao wengine hawakuja job wanasema leo wajamaliziwa ile ganji yao
Eeeh! uspotibiwa sai utaona tu maisha yako ikikuacha
Lakini usiwe na wasiwasi itarudi tu
baada ya ma dakika baada ya ma dakika
Ebu niambie hio pande ingine ni ku poa ama ni kubaya hivi
Kumetulia ama watu wanaungua ama watu wanaiva hivi
Naskia raha wasee wamechanuka siku hizi ngoma mbaya haziskizwi ata
Pia naskia raha unaeza chinjia manzi siku hizi ata ka ni mzee wako
Kabla niende kumwona lazima nipige nguo pasi nijipake mafuta
Niakikishe ngotha safi na ka si mathao mfukoni nikue na ganji ata
Leo lazima nijue ka ananipenda sana ama labda ananichukia
Lazima nijue ka tazamisha yote ama taiekelea
Akikata naachana nae naenda kutafuta mwengine msupa tu
Na najua tapata Kiswahili yangu ni mambo yote hapa hakuna cha kugeiwa
After hio tunakuta vitu kuta vitu mchana tunatulia



Credits
Writer(s): Brian Nguah
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link