Kamata Dame

Kamata dame
Kamata dame
Kamata dame
Kamata dame
Kamata dame
Kamata dame
Kamata dame

Kila kila mtu na wake
Na kama ahana shuari zake
Nipe nipe mkono tuende danse
Sista usinihandehande
Kila kila mtu na wake
Na kama ahana shuari zake
Nipe nipe mkono tuende danse
Sista usinihandehande

Clubu imeshona vichakari
Mamanzi wakatika vihatari
Machali wasorora vihangari
Vihangari hangari hang-hangari
Eh! dada niambie jina lako
Nimenoki hizo njaro zako
Naomba nafasi wakati wako
Tukatike nawe pekeyako
Mabeste wako wakule vako
Chali yako akule vako
Akileta diambo tumfanye majambos
Afanywe mambo afanywe mambo

Kila kila mtu na wake
Na kama ahana shuari zake
Nipe nipe mkono tuende danse
Sista usinihandehande
Kila kila mtu na wake
Na kama ahana shuari zake
Nipe nipe mkono tuende danse
Sista usinihandehande

Mkono zangu zinaniwasha nashindwa tashika manzi mgani hapa ndani
Nikiona huyu namtaka
Nikiangalia huyu wa kwanza namwacha
Leo wako wengi kushinda machali kwa hivyo lazima nitoke na ka wa nne
Huku nikiwadanganya hakuna yule nampenda kushinda mwengine
Nipelekeni basi kwa dance floor nikazitoke
Na leo utakatika sana kwa hivyo eka phone yako poa isipotee
Chupa ifunike vizuri mtu asiikojolee
Haiya! Na hii club ni ajab mpaka dj yukona wake
Bar tender nae ampotea kitu ka two hours sijui ameenda wapi
Labda pia ye yuko mahali ana
Kamata dame
Kamata dame
Kamata dame
Kamata dame

Kila kila mtu na wake
Na kama ahana shuari zake
Nipe nipe mkono tuende danse
Sista usinihandehande
Kila kila mtu na wake
Na kama ahana shuari zake
Nipe nipe mkono tuende danse
Sista usinihandehande

Chali yangu bana si ukona mtoto wako usiangalie wangu hivyo
Hapa ni noma ukikaa mbaya unaeza rushwa kwa hivyo mshughulikie vilivyo
Ka ni bia anataka mnunulie
Ka ni tot mbili anataka mchukulie
Haja gani kubania ganji
Na mkirudi kejani atakupatia bila maswali
Vako yoyote mtajaribu ata ikue ngumu design gani
We mfrahishe kesho akuringie kwa beste zake
Na yule msuper zaidi usimweke mchinjie kuipande
Na hii pande ingine tia bidii asahau chali yake
Ukifanya hivyo utaona kila siku vile utakua
U-na
Kamata dame
Geuza dame
Kamata dame
Geuza dame

Kila kila mtu na wake
Na kama ahana shuari zake
Nipe nipe mkono tuende danse
Sista usinihandehande
Kila kila mtu na wake
Na kama ahana shuari zake
Nipe nipe mkono tuende danse
Sista usinihandehande
Kila kila mtu na wake
Na kama ahana shuari zake
Nipe nipe mkono tuende danse
Sista usinihandehande
Kila kila mtu na wake
Na kama ahana shuari zake
Nipe nipe mkono tuende danse
Sista usinihandehande

Handehande handehande
Handehande handehande
Handehande handehande
Sista usinihandehande

Handehande handehande
Handehande handehande
Handehande handehande
Sista usinihandehande
Sista usinihande

Sista usinihande
Sista usinihandehande
Sista usinihande



Credits
Writer(s): Paul Julius Nunda
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link