Wakati Wa Mungu

Kwani we Brother unaombaga vipi?
Mbona yakwangu hayasikiki?
Nafunga daily
Na bado nashindwa vipi?
Wakati wa Mungu ni kama Tsunami ya maji
Ukuta hauwezi kuzuia lazima utabomoka
Wakati wa Mungu ni kama upepo mkali
Mlango hauwezi kuzuia lazima utafunguka
Wakati wa Mungu humpata kila mtu
We kuwa na subira andika haya kwenye shajara
Wakati wa Mungu ukikujiria
Mazingira si kitu yapinge
Wakati wa Mungu ukikujiria
Mwanadamu ni nani apingee
Usichoke ngoja
Ngoja
Ngoja
Ngoja
Ngoja
Ngoja
Usichoke
Ngoja
Ngoja
Ukujiriee
Wewe subiri tu
Ngoja
Ngoja
Ngoja
Ngoja
Ngoja
Ngoja
Usichoke
Ngoja
Ngoja
Ukujirie
Uuuuuh
Yooooh Nilisoma na ma_guys
Wameweza pata makazi
Wanafuu
Wanapata fursa ya kula cha mkufuu
Mimi bado naulizaga
Kaa nitawaipata nafuu
Ama kweli talanta itaweza nifanya nile na wakuu
Wakati wa Mungu
Je utawai nifikia
Baraka zangu niweze kuzipokea
Wakati wa Mungu kweli utakufikia
Baraka zako uweze kuzipokea
Nimechoka kungoja
Usichoke ngoja
Ngoja
Ngoja
Ngoja
Ngoja
Ngoja
Usichoke
Ngoja
Ngoja
Ukujiriee
Wewe subiri tu
Ngoja
Ngoja
Ngoja
Ngoja
Ngoja
Ngoja
Usichoke
Ngoja
Ngoja
Ukujirie
Shida tu yaaani
Usiliee
Natamani kivulini
Usiogopee
Nipate amani
Ooooooooh
Oooooooooh
Jua Mungu ni mti wenye kivuli kizuri
Ni mti wenye uzima na kweliiii
Eeeeeeeheeeeh
Wakati wa Mungu hufanya njia jangwani
Mito ya maji nyikani
Wakati wake hauna upinzani
Eeheeeeaiiii
Kumbe wakati wa Mungu huwafanya adui zangu kuwa rafiki zangu
Kila kitu huwa rahisi hata vilivyo shindikanaaaaah
Usichoke ngoja
Ngoja
Ngoja
Ngoja
Ngoja
Ngoja
Usichoke
Ngoja
Ngoja
Ukujiriee
Wewe subiri tu
Ngoja
Ngoja
Ngoja
Ngoja
Ngoja
Ngoja
Usichoke
Ngoja
Ngoja
Ukujirie



Credits
Writer(s): Peter Audiphaxad Omwaka
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link