Madam

Yao Yao, Boondocks Gang gang
Yoh prrr Kang Kang
Wakali wao, yao yao
Ndio hao clue on the beat yoh

Buda nachorea huyu madam
Buda zimeraru ukadance
Weekend ndio hiyo imeland
Mkoba akilalisha unda plan
Itisha hizo keg na majug

Eeh itisha mzinga bana, zikikam turorie
Hakuna ithaa yut man, we turorie
Odi kabisa turorie turorie
Meda ofisi turorie turorie
Alafu zikishika shuka na madam
Shuka na madam, shuka na madam
Alafu zikishika shuka na madam
Shuka na madam, shuka na madam

Simama kwa miguu rusha mikono juu
Ni kangoma kamenice anza tu kubanju
Eey ushageuka umeshika tu ukuta
Cheki tu kwa kichwa umeshuka tu matuta
Ona vile nyuma umejaza tu mauta
Me kwenye mdomo hani mkono niko luta
Kama zimeshika tuwakuna nawachilia
Madem wakikam tunawapandilia
Starehe yetu bei tumegharamia
Cheki masaa, tumeshachelewa
Sasa nani atadrive na tumeshalewa
Ebu chunga hao madem wanaweza kupora
Ju wengi wa huko ndani ni wakora
Cheki sasa tu zimenice
Hiyo glass yangu niongezee zile ice
Najua nitableki toka sasa mpaka night

Eeh itisha mzinga bana, zikikam turorie
Hakuna ithaa yut man, we turorie
Odi kabisa turorie turorie
Meda ofisi turorie turorie
Alafu zikishika shuka na madam
Shuka na madam, shuka na madam
Alafu zikishika shuka na madam
Shuka na madam, shuka na madam

Odi wa Murang'a amekam turorie
Makeg zikiisha muratina turorie
Tukimix na kindovu zitugorokie
Ah mi nakata biko hadi munikururie
Kama thutha iko fiti mi nariada
Na ka itabidi nitaseti hadi wada
Kimahuru toa kutu hadi nikiwa jaba
Nyorea mi hapana tambua lawama aah

Eeh itisha mzinga bana, zikikam turorie
Hakuna ithaa yut man, we turorie
Odi kabisa turorie turorie
Meda ofisi turorie turorie
Alafu zikishika shuka na madam
Shuka na madam, shuka na madam
Alafu zikishika shuka na madam
Shuka na madam, shuka na madam

Yoh, nabonga tu Arabic, ninabonga tu na ngeli
Ya waroro wamekam wamechrome ka bacteria
Nataka tu nilewe nibebwe hadi ma area
Ka daily ya kusere tu na pongi tu ya Maria
Shikisha njugu na veve, tei ni kachok
Hapa mi ndio sponsor, mi ndio the host
Piga tot, piga chok, na makwela na matoast
Kibash kiko lit kimeanza tu kuburn yoh
Ki u-Miguna miguna, baby come, baby come
Za madem zimenice wameanza tu kuturn
Za wagenge zimeshika ni kushuka na madam
Mi nadai figure 8 ndio niskie tu utam
Kata kutu toa nyege, punguza mahanjam
Kuku danger kuwamanga tunapenda vitu tam
Na kama wewe ni fisi kama line nitakucross yoh
Seti ki sssh, kiende chain mos mos

Shuka na madam, mjulubeng ka ni gun
Ruka hiyo plan kuruwen ndio niburn
Amesanif pedi kuna mresh ashawet
Kameseti already si unajua we ndo next
Kamemada pienga si unajua hii ni case
Kanadai emoji kuna haja ya kutaste
Anadai Konyagi na machaser za ma Krest
Anacheza kunguni na sijui ka ni pest

Eeh itisha mzinga bana, zikikam turorie
Hakuna ithaa yut man, we turorie
Odi kabisa turorie turorie
Meda ofisi turorie turorie
Alafu zikishika shuka na madam
Shuka na madam, shuka na madam
Alafu zikishika shuka na madam
Shuka na madam, shuka na madam



Credits
Writer(s): Tony Kinyanjui, Francis Macharia, Edward Kimachu Irungu
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link