Mavitu

We ndo ushikisha, nikichachisha
Nataka ndom nataka Keg we ni mapizza
Nikufilisha, Ex ni kulipiza
Ni kuguzisha rungu ni kupuliza
Niko mashisha
Nikushuka nao nao bila mavisa
Niko magiza
Jaba nayo nayo nayo nikumaliza
Fyeka, ao, ao, ao bila bakisha

Ati ule dem mcute na ako vitu
Ati ule chura mpole na ako vitu
Ati ule bazu sponyo na ako vitu
Ju ako vitu, leo apigwe kitu
Ju ako vitu, leo ameze P2
Ju ako vitu, leo apigwe kitu
Ju ako vitu, leo ameze P2
Seti ngale shash na hiyo kitu

Unanukia poa, kwani umejipaka nini
Unakaa poa, kwanza ukidunga mini
Kam thru manze me siwezikosa kiki
Dem anaringa baadae anapigwa miti
Cheki mambichwa, kuseti lazima
Skimbi akidai dick mi nazamisha
Madredi kwa kichwa, makali lazima
Ka-whiskey kakikam thru lolo atameza
Niko kitu, mi niko kutu
Njugu zikisha land rausha hiyo rungu
Niko kitu, mi niko kutu
Njugu zikisha land rausha hiyo kitu

Ju ako vitu, leo ameze P2
Ju ako vitu, leo apigwe kitu
Ju ako vitu, leo ameze P2
Ju ako P2, leo apigwe kitu

Ati ule dem mcute na ako vitu
Ati ule chura mpole na ako vitu
Ati ule bazu sponyo na ako vitu
Ju ako vitu, leo apigwe kitu
Ju ako vitu, leo ameze P2
Ju ako vitu, leo apigwe kitu
Ju ako vitu, leo ameze P2
Seti ngale shash na hiyo kitu

Ni Odi wa Murang'a kichwa mbaya aki walai
Nikatiwe na Huddah nakataa naendea Malaya
Ju hizi mavitu mi huvuta ni za hii ma Himalayas
Niwie radhi sina ugonjwa na niko madawa
Niko ka jing jong, washa ngiams dry sai
Na ka ni nginyo mi nitawatch na Wamboi
Na ka ana dimples, kako jaba mi nitakakiss
Kateme taxin, kumeza lolo sindio routine
Na kakinyongwa hizo ma Kegs si kata-sip
Na rungu yangu strong ni kama tyre za ma-Jeep
Wakam na hizo thong ju leo ni ngono na mugithi
Na kama una turi, pewa jug iko nini
Muratish na wale Wakali Wao sio nyinyi
Na ule peddy wangu mjenge hizo Konyagi mbili
Zake zishike ziraruke asahau ile deni
Zake zishike ziraruke asahau ile deni

Ati ule dem mcute na ako vitu
Ati ule chura mpole na ako vitu
Ati ule bazu sponyo na ako vitu
Ju ako vitu, leo apigwe kitu
Ju ako vitu, leo ameze P2
Ju ako vitu, leo apigwe kitu
Ju ako vitu, leo ameze P2
Seti ngale shash na hiyo kitu

Niko rada ya kuseti kajing na kajong
Zimenyanya zikishika ni kiriz na kindom
Eastlando kuna form ya kudandia kerosh
Cheki ngeus amejaza ako bash ya Umo
Nilifanya dem yako afunge duka
Seti shash, utahitaji tu mashuksha
Naeza guza hadi chami ikue busaa
Zimeraru na matawi za aluta
Cheki rada ya mbleina ni laputa
Nimerieng na huyu dem ana thutha
Nimechora plan ya Getho hadi Runda
Nikiball walai bana utanimunda
Vile hadi mempi nalipunda
Na forbidden utajua nina tunda
Na forbidden utajua nina tunda
Nina tunda, nina tunda

Ati ule dem mcute na ako vitu
Ati ule chura mpole na ako vitu
Ati uule bazu sponyo na ako vitu
Ju ako vitu, leo apigwe kitu
Ju ako vitu, leo ameze P2
Ju ako vitu, leo apigwe kitu
Ju ako vitu, leo ameze P2
Seti ngale shash na hiyo kitu



Credits
Writer(s): Tony Kinyanjui, Francis Macharia, Edward Kimachu Irungu
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link