Leila

Anaitaka haipati,alijaliwa kidhamini

Hakikam mwana akipenda kweli
Atapigana vita vingi,ainusuru penzi
Hivyo unampendea nini walai kila kutwa
Anakuuliza unang'ang'ania nini ni zaidi ya heri sivuta
Wanaume wengi ni kama?
Hawamaanishi wasemacho,ni waongo hawafai

If I was your lover,ningedhamini penzi lako style bora
Mwanamke anahitaji matunzo
Leila leila ungekua wangu ningekupenda ipasavyo
Leila leila
Ungekua wangu ningekupenda ipasavyo
Changu chako, chako changu mi nawe,na wewe
Tena niacha utoto,kutwa kucha machangu,nikuoe

Nitakua shujaa wako nitaliwaza mama
Ukinihataji mama nipigie simu yangu

Nitakua shujaa wako mama
Nitaliwaza mama
Nitakufariji mama
Nipigie simu yangu

If I was your lover
Ningedhamini penzi lako style bora .mwanamke anahitaji matunzo

Leila leila
Ungekua wangu ningekupenda ipasavyo
Leila leila
Ungekua wangu ningekupenda ipasavyo
Leila leila
Ungekua wangu ningekupenda ipasavyo

If I was with you Leila
If I was with you leila
If I was with you leila
Si j'etais avec toi If I was with you leila

Ningekupenda ipasavyo my beiby
Si c'etait moi



Credits
Writer(s): Otile Brown
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link