Kosea

Mmh hujawai kukosea, sijawahi kuwa sawa
Ooh beiby, unaninyanyasa sana
Hujawai kukosea, sijawahi kuwa sawa
Ooh beiby, unanitesa sana (Ooh oh oh)

Sometimes nafanya zile vitu sipendi
Ili nikuridhie
Ila ndo bado nanong'ona, yeah yeah
Natamani ardhi ipasuke, inimeze
Maana mwenzio nimechoka

Mwenyezi Mungu niwezeshe
Bora iliponifika inisepe
Kama umenichoka unieleze beiby

Mwenyezi Mungu niwezeshe
Bora iliponifika inisepe
Kama umenichoka unieleze beiby

Hujawai kukosea, sijawahi kuwa sawa
Ooh beiby, unaninyanyasa sana
Hujawai kukosea, sijawahi kuwa sawa
Ooh beiby, unanitesa sana

(Vicky pon dis)

Elewa sishindani nawe
Sibishani na wewe, mama utakalo na liwe
Elewa sishindani nawe
Sibishani na wewe, mama utakalo na liwe

Beiby niende kushoto uende kulia, kama hatutakani
Nimekuvumilia, ila ni kama hatuendani
Kila siku vitimbi, utadhani vioja mahakamani
Hapa ilipotimia kwa hili penzi nishapoteza imani

Hujawai kukosea, sijawahi kuwa sawa
Ooh beiby, unaninyanyasa sana
Hujawai kukosea, sijawahi kuwa sawa
Ooh beiby, unanitesa sana

Hujawai kukosea, sijawahi kuwa sawa
Ooh beiby, unaninyanyasa sana
Hujawai kukosea, sijawahi kuwa sawa
Ooh beiby, unanitesa sana



Credits
Writer(s): Jacob Obunga
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link