Midnight Calls

Utamu wa pipi, baby umekolea,
Tamu halua, ladha yake halahala,
Huku kwetu lahaula wanashangaa,
Lakusema tutawapa kwa nyiminyimi
Achia moyo wako njiwa jisheuwe
Tai tupae falaki macho juu watazame
Wenye roho nyeusi wakeshe kuwanga
Hapa hawapati amir keshasema aiwa

Tena wasikupe shaka kwa yao minong'ono
Mimi adhabu kwao mtetezi wako darling
And I wanna let you know believe in me when I say
Mpira umepata mmiliki magoli mashallah

Only you chaguo la moyo wangu
Only you chanzo unyonge wangu
Only you boni langu Juliet na romeo
Only you for the midnight calls
Kupendwa raha karia kwa kitako
Yaani shilling kwa mbili tunafanana
Maana yake mimi wako wewe wangu
You're my love sultana kipenzi chnagu
And all what you do
For the sake of our love nitasimamia
Just to show you what I mean
Kwako sinanga ujanja nimetua

Tena wasikupe shaka kwa yao minong'ono
Mimi adhabu kwao mtetezi wako darling
And I wanna let you know believe in me when I say
Mpira umepata mmiliki magoli mashallah

Only you chaguo la moyo wangu
Only you chanzo unyonge wangu
Only you boni langu Juliet na romeo
Only you for the midnight calls



Credits
Writer(s): Danson Musyoki
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link