Mbang'a (feat. Mwaki & Bantu)

Kabla nigenye lazima nikang'e mbang'a
Lazima nikang'e mbang'a
Kabla nigenye lazima nikang'e mbang'a
Lazima nikang'e mbang'a
Wamemadah mayouths na madimanga
Na madimanga na madimanga
Wamemadah mayouths na madimanga
Na madimanga na madimanga
Imebidi niwapeleke na radar
Na radar niwapeleke na rada,yeah
Imebidi niwapeleke na radar
Na radar
Nawapeleke na radar

Maisha ni ngori kama huna kitu kwa pori
Ni ngumu kuishi kama ujadishi
Ujalipa kodi ujalipa karo ujalipa maji kunywa ya mtaro
Watiaji walishamurder morio wa me
Ilikua mistaken identity
Sasa ni wangapi wamemadwa na karo
Trigger happen
Ni wangapi wako ndani na wako innocent
Ata nikirepent bado utaniangusha ni evident
Kwa news tunacheki interviews
Za politicians hawana aja ya me and you
Ni competition nani mnoma
Nani anakula nyama wengine wakishika tama
Wamama na watoi wameachwa hoi
Maisha duni kila siku ni chamtemakuni
Ni kama tumepiga ukuta ngumi
Tunaumia uku pesa zetu zikigharamia
Starehe zao watoto wao wako ng'ambo

Kabla nigenye lazima nikang'e mbang'a
Lazima nikang'e mbang'a
Kabla nigenye lazima nikang'e mbang'a
Lazima nikang'e mbang'a
Wamemadah mayouths na madimanga
Na madimanga na madimanga
Wamemadah mayouths na madimanga
Na madimanga na madimanga
Imebidi niwapeleke na radar
Na radar niwapeleke na rada
Imebidi niwapeleke na radar
Na radar
Nawapeleke na radar

In the morning nmerushwa kwa boot ya subaru
Na mambang'a wa kabete nachukia mambaru
Ju Sina mask wananisearch wanathani Niko na product
Walikua wanadai niwajenge mabetter
Tukawapiga Thao nikawashow see you later
I can't lie Niko juu ya madawa
Siko sane
I can't die ju ya maswara Nagoh insane
Nikiremember
Wali attack Nilikua na menje hawakunitoka
Back pocket nilikua na tenje
mbili Hawakunikoma
Kwanini?walikua wanadai kunimadah Niamini
Lakini wapi Bado me best rapper uko wapiwapi
Mtaa natembea na timba we ni patipati
Parte after parte ni baada ya kazi
Nickname ni champ Man
Siezi kuwa influenced by a haters opinion

Kabla nigenye lazima nikang'e mbang'a
Lazima nikang'e mbang'a
Kabla nigenye lazima nikang'e mbang'a
Lazima nikang'e mbang'a
Wamemadah mayouths na madimanga
Na madimanga na madimanga
Wamemadah mayouths na madimanga
Na madimanga na madimanga
Imebidi niwapeleke na radar
Na radar niwapeleke na rada
Imebidi niwapeleke na radar
Na radar
Nawapeleke na radar

Nikiingia kwanza pishe njia
Joh unaniskia kwa beat clear a bitch here
Ku ease a bit fear
Nablead tear kumaintain this year
Kabla ya kuendelea na madharau
Joh neza fanya kusahau
Kunipiga kibare nikiwa maubao
Morio wako ananidai thao kwa pori nina mbao
Sijalipa hao nawish kuvanish right now
Kwani ni how karao
Kuthreat kunieka ndani ju ya sss sss ya mbao
Napiga mao kustand out kwa mbao
Na ngware inafaa nitingue bizz yangu ya ndao
Kushika wastiri joh wanaenda tao
Wachoroe izo coins joh zimejichora kwa trao
Nipate za kumunch aghalau
Maproblems kibao

Kabla nigenye lazima nikang'e mbang'a
Lazima nikang'e mbang'a
Kabla nigenye lazima nikang'e mbang'a
Lazima nikang'e mbang'a
Nivile Wamemadah mayouths na madimanga
Na madimanga
Nivile wamemurder mayouths na madimanga
Na madimanga



Credits
Writer(s): Clinton Onyango
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link